Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mh. Edward Lowassa leo yuko wilaya ya Songea mjini akiambatana na viongozi wengine wa ngazi ya juu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wakiendelea na ziara ya kuonana na viongozi wa mabaraza ya chama katika ngazi za chini.