Edward Lowassa awasili wilayani Songea Kwenye Ziara ya Kikazi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mh. Edward Lowassa leo yuko wilaya ya Songea mjini akiambatana na viongozi wengine wa ngazi ya juu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wakiendelea na ziara ya kuonana na viongozi wa mabaraza ya chama katika ngazi za chini.

IMG-20161124-WA0035.jpg

IMG-20161124-WA0034.jpg

IMG-20161124-WA0033.jpg

IMG-20161124-WA0031.jpg
IMG-20161124-WA0030.jpg
 
Chapa kazi mzee hakuna kujali kejeli za watu mitandaoni.ni kuwa ignore tu
 
Janja ya kula ruzuku ya chama bila Nyumbu kushituka.

Wanafanya ziara zisizo na kichwa wala miguu
 
Back
Top Bottom