Edward Lowassa awasili wilayani Songea Kwenye Ziara ya Kikazi


Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
14,031
Likes
31,831
Points
280
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
14,031 31,831 280
Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mh. Edward Lowassa leo yuko wilaya ya Songea mjini akiambatana na viongozi wengine wa ngazi ya juu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wakiendelea na ziara ya kuonana na viongozi wa mabaraza ya chama katika ngazi za chini.

img-20161124-wa0035-jpg.438893

img-20161124-wa0034-jpg.438895

img-20161124-wa0033-jpg.438896

img-20161124-wa0031-jpg.438897
img-20161124-wa0030-jpg.438898
 
E

Elimu ya hapa na pale

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Messages
846
Likes
824
Points
180
E

Elimu ya hapa na pale

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2016
846 824 180
Kwani anazunguka kufanya kazi gani, na kwa cheo gani alichonacho ndani ya chama na alichaguliwa lini??? Je si anaingiria kazi ya katibu mkuuu na mwenyekiti wa chama??

Ebu nisaidieni wadau jf.
 
kopites

kopites

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Messages
5,079
Likes
4,328
Points
280
kopites

kopites

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2015
5,079 4,328 280
Chapa kazi mzee hakuna kujali kejeli za watu mitandaoni.ni kuwa ignore tu
 
Mwasita Moja

Mwasita Moja

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Messages
2,908
Likes
2,529
Points
280
Age
49
Mwasita Moja

Mwasita Moja

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2015
2,908 2,529 280
Janja ya kula ruzuku ya chama bila Nyumbu kushituka.

Wanafanya ziara zisizo na kichwa wala miguu
 
Mfukua Makaburi

Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Messages
2,677
Likes
5,167
Points
280
Age
28
Mfukua Makaburi

Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2014
2,677 5,167 280
Hiyo picha ya mwisho Lowasa anasalimiana na mtoto mmoja ana mkia mzuri haki ya mungu.
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,271
Likes
55,223
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,271 55,223 280
Roho zinawauma sana uvccm
 
Kwetu-Tz

Kwetu-Tz

Senior Member
Joined
Jun 17, 2016
Messages
117
Likes
96
Points
45
Kwetu-Tz

Kwetu-Tz

Senior Member
Joined Jun 17, 2016
117 96 45
much. Tunahama kutoka ngazi ya harakati kwenda kwenye itikadi halisi
 

Forum statistics

Threads 1,273,817
Members 490,485
Posts 30,492,935