Edward Lowassa, awapa mitaji vijana walioondoka naye CCM

Mwambieni aanze kupanda daladala saiv, tutampiga mawe akianza kupanda wakatkampeni zinaanza
 
"Tanzania inahitaji watu intelligent, wabunifu.... Wanaojituma zaidi na wenye kujali tija na ufanisi kuliko nguvu nyingi isiyo na tija!!

Lowassa ndani ya mwaka mmoja alimu outshine JK kiasi kwamba akajengewa chuki na wivu... Wanafiki na wadandiaji waliokosa vyeo na fursa wakaanza uchonganishi hadi kuwatenganisha na JK! Ni lowassa huyu aliyesimamia bila woga ujenzi wa shule za kata nchi mzima japo walikuwepo waliopinga na kubeza!! Miaka miwili baada tangu aondoke hazikupata msukumo tena!! Zikageuka day care centres!!!

UDOM ni mawazo na uthubutu wa Lowassa!!

Itafika mahali muda utatuambia ni jinsi gani majungu... Chuki...visasi na husda zinavyoimaliza nchi hii yenye neema tele!!''
====

Kakaa miaka zaidi ya 15 kama waziri na kila alipokaa ameacha lundo la kashfa za kifisadi.

Bado unamuita mbunifu? Kwanini hao vijana na Soo wale waliopigwa, familia za waliopoteza maisha au tiwa vilema mtaani huku?

Anyway imeandikwa "acheni watu wazike watu" CHADEMA mnshajifia kifo cha mende tuwaachie CHADEMA yenu kutoka kuwa Chama cha Siasa hadi kuwa shamba la bibi duka la kusaidia matumbo ya wanafamilia Mbowe kaweka hadi wachumba zake Bungeni, Lissu, Slaa, Ndesapesa wote wamejaza ndugu zao kwenye nafasi za uteuzi wao.

Zamu ya EL nae anafungua Company yake CEO Richard Lowassa na vijana wa chadema mtaenda kuwasaidia kupiga hela.
 
Africa na Tanzania inahitaji watu intelligent, wabunifu.... Wanaojituma zaidi na wenye kujali tija na ufanisi kuliko nguvu nyingi isiyo na tija!!

Lowassa ndani ya mwaka mmoja alimu outshine JK kiasi kwamba akajengewa chuki na wivu... Wanafiki na wadandiaji waliokosa vyeo na fursa wakaanza uchonganishi hadi kuwatenganisha na JK! Ni lowassa huyu aliyesimamia bila woga ujenzi wa shule za kata nchi mzima japo walikuwepo waliopinga na kubeza!! Miaka miwili baada tangu aondoke hazikupata msukumo tena!! Zikageuka day care centres!!!

UDOM ni mawazo na uthubutu wa Lowassa!!

Itafika mahali muda utatuambia ni jinsi gani majungu... Chuki...visasi na husda zinavyoimaliza nchi hii yenye neema tele!!

VISIONARY LEADERS
 
Kwa mimi naona wamenunuliwa, Richard Lowassa mdo CEO?? Daaaaaanm!
 
Ukimsoma mleta uzi kwa haraka unaweza kudhani ni pro Ukawa... Lakini ukweli ni anti-Ukawa. Anatumia staili ile ya VUTA NI VUTE
 
hahahahhaha...wakati lais wako anatamani hata asiongeee...nmanake lais katafuta sana kiki kwenye makamera ili kumu outshine Jembe Lwasa....Na hivi akianza tu kuongea na akianza harakati zake...Mnafutika vichwani mwa watu....soon anaanza harakati...Si mnamjua lakini
Kwanza ataongea lugha ipi kiswahili holaa...kiingereza hooola kabisa,labda akaongee kisukuma kule kwao
 
Duh!
Sisiemu bye bye 2020??? Hii ya Magufuli?? Itabidi EL atununue watz wote Na ahakikishe anatusimamia ktk ballot box tunatick jina lake, uzi huu ni useless!

Kwa mara ya kwanza hongera
 
Africa na Tanzania inahitaji watu intelligent, wabunifu.... Wanaojituma zaidi na wenye kujali tija na ufanisi kuliko nguvu nyingi isiyo na tija!!

Lowassa ndani ya mwaka mmoja alimu outshine JK kiasi kwamba akajengewa chuki na wivu... Wanafiki na wadandiaji waliokosa vyeo na fursa wakaanza uchonganishi hadi kuwatenganisha na JK! Ni lowassa huyu aliyesimamia bila woga ujenzi wa shule za kata nchi mzima japo walikuwepo waliopinga na kubeza!! Miaka miwili baada tangu aondoke hazikupata msukumo tena!! Zikageuka day care centres!!!

UDOM ni mawazo na uthubutu wa Lowassa!!

Itafika mahali muda utatuambia ni jinsi gani majungu... Chuki...visasi na husda zinavyoimaliza nchi hii yenye neema tele!!

Ona lowassa alivyo na vibaraka wajinga wajinga eti lowassa kaleta shule za kata hivi mnajua ata hizi shule ni nani kazileta na mradi wake uligharamiwa na nani!

Ukiwa na mashabiki wapuuzi lazima ukatwe kila ukileta mvi zako tushazika lowassa yamebaki makelele ya kuombeleza kama haya.
 
Africa na Tanzania inahitaji watu intelligent, wabunifu.... Wanaojituma zaidi na wenye kujali tija na ufanisi kuliko nguvu nyingi isiyo na tija!!

Lowassa ndani ya mwaka mmoja alimu outshine JK kiasi kwamba akajengewa chuki na wivu... Wanafiki na wadandiaji waliokosa vyeo na fursa wakaanza uchonganishi hadi kuwatenganisha na JK! Ni lowassa huyu aliyesimamia bila woga ujenzi wa shule za kata nchi mzima japo walikuwepo waliopinga na kubeza!! Miaka miwili baada tangu aondoke hazikupata msukumo tena!! Zikageuka day care centres!!!

UDOM ni mawazo na uthubutu wa Lowassa!!

Itafika mahali muda utatuambia ni jinsi gani majungu... Chuki...visasi na husda zinavyoimaliza nchi hii yenye neema tele!!
Dah.... Nawahurumia sana aisee
 
Back
Top Bottom