Edward Lowassa atembelea shule ya Nanja Iliyoungua moto

Edward Lowassa atembelea shule ya Nanja Iliyoungua moto

Unachangia kwenye peace n harmonious environments, hii environment ya kupigana mikwara kila siku nani atachangia
 
Unachangia kwenye peace n harmonious environments, hii environment ya kupigana mikwara kila siku nani atachangia
Tehe tehe tehe, siyo unachangia pale unapokuwa na uhakika kesho utachota zingine?
 
Ukitaka kujua msaada wa mwanasiasa si bure, uliza makanisa misikiti nani leo anaenda au anatoa milioni za kumwaga kwenye harambee na kwenye majanga.
Tulivyo wepesi kusahau 2019 tutawasikia sana.
Makondra
 
Hivi kunakuwa na ukakasi gani kumtambulisha Edward Lowassa kama Waziri mkuu aliyejiuzulu? Kuna haja gani kuandika uongo wa dhahiri kwa kumwita Waziri mkuu mstaafu? Mbona CUF wanampamba Prof Lipumba kama mwenyekiti aliyejiuzulu na hawadanganyi kwa kumwita mwenyekiti mstaafu????
Basi tuseme "aliyekuwa waziri mkuu"
 
Back
Top Bottom