Edward lowasa amebadili dini na sasa ni mlokole

Sidhani kama kuna nabii yeyote, awe Joshua au mwingine yeyote anaweza 'kuokoa' bila ya huyo mhusika kuomba radhi kwa aliowakosea. Hivyo nategemea Lowassa kuungama mbele ya watanzania kwa yale yote aliyotenda hasa Richmond maana kuna watanzania wameachishwa kazi kwa sababu ya mgao wa umeme. viwanda vinapunguza wafanyakazi kwa sababu ya kukosa umeme.
 
Well said ndugu; true repentance is both word and deed...kwa kuwa aliwakosea Watanzania, he must make a public apology and then return our money, and then he can deal with God and his soul....otherwise aache kutudanganya maana hatudanganyiki tena
 
Afadhali kaenda mahali ambapo atapata faragha.. kasalitiwa mno baba huyu... licha ya uchapa kazi wake....
 
Huenda na shetani ni mlokole kama spidi ni hii! Hivi kuna uokovu uwezao kutoka Nigeria jamani? Haya wee!
 
Ok, sio mbaya kama kapatana na muumba wake, ila kwa maana hiyo hajabadilisha dini, walokole wapo hata KKKT, RC n.k sasa atatengwaje?
..Chanzo cha taarifa hizi ni nini?
 
Huenda na shetani ni mlokole kama spidi ni hii! Hivi kuna uokovu uwezao kutoka Nigeria jamani? Haya wee!
Wee bwana, are you serious? are among the so called great thinkers? I doubt ...kwa hiyo unamaanisha kuwa shetani pia ni mwislam? Je kuna uislam unaotoka Saudia? Kama huna hoja unanyamaza tu.
 
Mgogoro utakuja kati ya lowasa na maaskofu kkkt, kwani ndani ya kkkt hurusiwi kubatizwa maji tele, ukifanya hivyo ni sawa na uasi mkubwa na unatengwa na kkkt.Hivyo lowasa yupo mbioni kutengwa na kkkt
Jlna lake linafutwa kkkt. linaandikwa mbiguni.
 
Luka.19:8, Zakayo akasimama, akamwambia, Bwana tazama nusu ya mali yangu nawapa maskini na ikiwa nimenyang'anya mtu kitu kwa hila namrudishia mara nne. Lowasa akifanya kama Zakayo nitaamini ameokoka
 
hehehehehehe .... arudishe alizodhulumu basi.. na kwa nini ataka ifanyike kwa siri..
 
Back
Top Bottom