Edward Jenner: Mtu aliyeuokoa ulimwengu

Nami huwa nashangaa waafrika wanao sema eti kwamba ni ya wazungu nikutaka kutua,hivi huyu mzungu ambaye kila kitu tunamtegemea yeye akihitaji kufanya hivyo so ni swala la dakika tu.
Hata apewe miaka elfu hawezi....

Hitler na Himmler waliwachoma na kuwachinja ndugu zetu Wayahudi wasio na hatia milioni 8 kule Auswitchz na Sobibor.....je aliwamamaliza?!!

Wayahudi wamekwisha?
 
Huwa nashangaa sana nasikia wasomi eti wana buy mawazo ya kipimbavu kuwa chanjo zikataliwe eti ni mpango wa mabeberu kutuangamiza.. dah
 
Hata apewe miaka elfu hawezi....

Hitler na Himmler waliwachoma na kuwachinja ndugu zetu Wayahudi wasio na hatia milioni 8 kule Auswitchz na Sobibor.....je aliwamamaliza?!!

Wayahudi wamekwisha?
Issue sio kuisha Bali issue ni kuangamiza au kupunguza watu weusi ndio wanaweza kama wakitaka, kwani hao wayahudi 8mil wasingeuawa wakaendelea kuzaliana leo hii wangekuwa wangapi? Israel inakadiriwa kuwa na watu 9mil, kwahiyo kwa makadilio tu kwa miaka hiyo inawezekana Hitler aliuwa karibia 50% ya wayahudi duniani

Jibu ni moja tu kuwa wazungu wakiamua kukontrol uzao wa waafrica huo uwezo wanao, tunatumia almost chanjo na dawa zote kutoka kwao, wangeanza kudhuru watoto wanaozaliwa kwa kuchanja chanjo zenye matatizo na sie wakubwa tungepewa dawa zenye athari ya kifo ata kama tusingeisha na of course kuisha hatuwezi kutokana na geographical location kuna jamii zingine Africa hazifkiwi na huduma za kijamii hivo tungepungua sana

Hivo kufikilia kuwa wazungu wanataka kupunguza wa Africa kwa kupitia madawa na chanjo kama vile ya covid ni ujinga tu, Africa ni bara lenye growth population kubwa sana baada ya bara la Asia na kama wazungu wangekuwa wanatupunguza basi ongezeko la watu lingekuwa kwa speed ndogo na sio kubwa kama leo hii, na Bila hayo madawa ya wazungu watu hasa wa Africa tungekufa sana na maradhi ya ajabu ajabu, zamani kipindu pindu kilikuwa na uwezo wa kuuwa hadi watu laki 8 huko India ila madawa ya wazungu yameokoa hivo vifo, zamani watoto na mama wajawazito Africa wamekufa sana kwenye kujifungua ila leo hii vifo vimepungua
 
wakitaka kutufuta blackmen Duniani wasingengoja chanjo hii. Ilitosha ndui na Polio kutumika kutufyekelea mbali

Umeongea sana, umetoa utetezi mwingi: tazama video hii na utafakari upya mawazo yako
 
Hoja ya kwamba wazungu wanataka kutuangamiza huwa haina mashiko always, ni hawa wanasiasa uchwara ndo wanao eneza uzushi huo ili kujitutumua na waonekane wao ni wazalendo ila kiuhalisia kama mzungu akiamua kuperish hii ngozi nyeusi basi bi mission rahisi kwake, anaweza akatumia vita kugombanisha wenyewe kwa wenyewe, anaweza akatumia hayo mamisaada ya madawa, anaweza hata akawanyima msaada na mkakufa wote vilevile
SA wazungu walisambaza HIV kwa weusi
 
Wametupiga Wale Watu, Mpaka Sasa Hivi NIMR Kimya

Walisema Miezi Sita Mpaka Sasa Hivi Bado
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu

Tumeliwa Sana Ndugu Zangu

Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu

Tumegongwa Sana Ndugu Zangu.
nilichogundua kuna wahisani na mabeberu siku hizi
 
Hua najisikia vibaya sanaa mtu akiwananga wazungu ananichefua sanaa ,una mleteaje dharau mtu ambae hujafikia hata uwezo wake nusu tu?

Si vizuri kujidharau ila no bora kukaa kimyaa na kujifunza kupitia kwao ili nasi tuweze kuwafikia angalau hata kwa karibu kuliko kujifanya machinooo .

Utasikia jitu linasema wazungu hawatupendi hata kidogo lakini ukweli ni kwamba WAZUNGU WANATUPENDA KIDOGO NA KUTUONEA HURUMA SANAA SEMA SISI WAAFRIKA NDO HATUPENDANI WALA HATUONEANI HURUMU .
 
Hizo consipiracy kuwa HIV imekuwa targeted kwa mtu mweusi pekee mnaweza kuzitetea kwa point konki?
Ulichosema sicho nilichosema, nimesema walisambaza probably delibarately, in SA HIV prevalence rate ni over 80% kwa blacks, kwa weupe ni less than 5, tell me the reason
 
Ulichosema sicho nilichosema, nimesema walisambaza probably delibarately, in SA HIV prevalence rate ni over 80% kwa blacks, kwa weupe ni less than 5, tell me the reason
Okay asante kwa kunielewesha ulicho maanisha, twende kwenye jibu:
Sababu za watu weusi ni masikini na wazembe hususani kuzingatia mambo ya afya tofauti na weupe ndio maana sio HOV peke yake ila hata magonjwa mengine mengi sisi ndio vinara
 
Saudia mbona Wana version tofauti na hili unalosema wewe?
Mimi mmoja wapo ni Msaudia Mweusi.

Pili, suala la kichwa cha mada na kilichoandikwa naona ni vitu viwili tofauti. Mtoa mada angekuwa mkweli tu kuweka anuani na kile alichokiandika.

Tatu, hivi kabla ya miaka useme 300 nyuma hali ilikuwaje ?
 
Okay asante kwa kunielewesha ulicho maanisha, twende kwenye jibu:
Sababu za watu weusi ni masikini na wazembe hususani kuzingatia mambo ya afya tofauti na weupe ndio maana sio HOV peke yake ila hata magonjwa mengine mengi sisi ndio vinara
Ukweli kuhusu maradhi watu hawajui.
 
Nami huwa nashangaa waafrika wanao sema eti kwamba ni ya wazungu nikutaka kutua,hivi huyu mzungu ambaye kila kitu tunamtegemea yeye akihitaji kufanya hivyo so ni swala la dakika tu.
Paka anayejali kesho yake' hawezi kumla panya mwenye mimba
 
Back
Top Bottom