Education

Ukitaka kusoma vyuo vingi vya ufundi kama ATC, DIT,MRI Na vingine lazima uwe umetengeneza angalau D ya o level ya masomo ya PCM.
Jaribu st John's university wana kozi zinazohitahi pass chache tu ila mpunga mbele sana.
 
Nenda veta
ATC uta disco,kama basic math ilikushda ndo utaiweza pure?acha utani
 
Back
Top Bottom