mustapha hashimu
Senior Member
- Jan 25, 2017
- 145
- 31
Naomba kuuliza swali ndugu zangu, mfano MTU ana degree ya engineering alafu anataka kusoma postgraduate diploma ya education, je akimaliza anakuwa mwalimu au? Nahitaj elimu hapo
Atakuwa mwalimu at same time EngineerNaomba kuuliza swali ndugu zangu, mfano MTU ana degree ya engineering alafu anataka kusoma postgraduate diploma ya education, je akimaliza anakuwa mwalimu au? Nahitaj elimu hapo