Education vs unemployment | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Education vs unemployment

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MWL MTZ, Dec 12, 2011.

 1. MWL MTZ

  MWL MTZ Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hivi hii elimu yetu hapa Tanzania inaweza kundoa tatizo la hukosefu wa ajira maana kuna vijana kibao wamemaliza vyuo vikuu na wapo tu bila ajira wala shughuli yoyote.wengine wamesoma internation relation, education, statistics, business administration, public administration, law, rural development, tourism nk wapo tuuuuuuu.
  sasa hapa tatizo nini
  course walizosoma?
  perfomance mbovu hivyo kushindwa kushindana kwenye soko la ajira?
  sera mbovu ya elimu [theoretical base]?
  sera mbovu za serikali kuhusu ajira?
  au mazingira mabovu?
  Sasa wana jf nini kifanyike? tuendelee kuongeza idadi ya wanafunzi vyuo vikuu bila kuandaa mazingira ya ajira?
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  2kifanikiwa kuondoa UFISADI mambo safi.
   
Loading...