Educating website

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
230
Wana jf kuna rafiki yangu anataka kuanzisha website ambayo itakuwa inatoa notes za masomo ya sayansi. Vp hii idea ni nzuri au.
 
Ni notes na sio notice.

  • nini itakuwa chanzo cha notes hizo?
  • ataandaa mwenyewe au ataweka links kwa sites nyingine?
  • analenga audience gani? global au TZA?
  • anatarajia kufanya specialization katika field fulani ya sayansi au jumlajumla?
Sijakujibu kama idea ni poa au la, ila nimekupa nafasi ya kupanua mipango yako.
 
Back
Top Bottom