Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,461
- 1,448
wote sanaa tu
mkuu umelonga...
kwa wale wamezoea kuangalia soka la majuu wangependa kuona wachambuzi wenye first hand experience ya kile wanachambua yaani watu waliocheza soka....akiongea Ally Mayai namsikiliza kwa makini sana lakini hao kina Shafii/kumwembe ni sanaa na uhodari wa kuangalia DSTV na kusoma soccer news kwenye Internet tu....hawana ujuzi wowote wa soka....kiasi cha kuitwa wachambuzi wa soka.
No wonder nchi hii haiendelei maana kila sehemu ni sanaa na ujanja ujanja tu.
By the way...Namkubali zaidi Edo kuliko Shafii, naona Edo husoma hizo habari kwenye mitandao na kisha akaongeza na ufundi wake na kukufanya upate kitu tofauti wakati Shafii ni Copy and Paste only.
Edo is more inteligent kuliko Shafii na hata kwenye analysis zao, Edo huegemea zaidi kwenye issues mf. technical aspect of the game wakati Shafii ataongelea non-issues kama mchezaji analipwa kiasi gani etc.