Onyo kwa baadhi ya wachambuzi soka nchini

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,837
Wasalaam wakuu!

Mara kadhaa nimekuwa nikiwafuatilia na kuwasikiliza baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kimichezo nchini, kupitia vipindi vyanzo mbalimbali vya habari, na nimegundua kuwa tasnia hii ya uchambuzi wa michezo hususani soka imevamiwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri, machawa, mashabiki hoyahoya wasiokuwa na upeo, wacheza kamali na wacheza soka wazamani wenye roho za kilozi na uelewa mdogo wa falsafa za michezo.
Aina hii ya wachambuzi wamepelekea tasnia ya habari za kimichezo nchini kuwa jukwaa la kushambulia maisha binafsi ya watu na taasisi fulani kwa manufaa yao binafsi au ya watu wanaowatumia.

Wafuatao ni baadhi ya wachambuzi wa soka la bongo ambao wamekuwa wakitumia vibaya fursa za kusikika redioni kushambulia watu na taasisi mbalmbali kwa mlengo wa chuki binafsi.

1.*Jemedari saidi kazumari*voice of voiceless *
Huyu ni mchambuzi mwenye visirani visivyo na maana, ni msambaza sumu mkubwa hususani linapokuja suala la Yanga sc, na hii ni kutokana na hapo awali kutaka kuwa miongoni mwa wagombea katika moja ya chaguzi pale jangwani, lakini baada ya jina lake na mgombea mwenzake kukatwa na mchezaji Faridi Mussa kuamua kuachana nae kama meneja wake, mtu huyu aligeuka na kuwa mbogo na alijiapiza kupambana na Yanga sc kwa kila namna, mbaya zaidi amekuwa akiwapiga mizinga wachezaji wa Yanga sc na aliponyimwa mlungula na dickson job, mtu huyu alianza kumshambulia kijana kwenye redio na page zake za mitandao yake ya kijamii.Hakuishia hapo amekuwa akimshambulia hata raisi wa klabu ya yanga sc ndugu hersi saidi kwa maneno ya kukera huku akimuita majina kadhaa ya maudhi kama "muhuni", "Tapeli", msomali mwizi and so forth,. NAKUONYA JEMEDARI SAIDI, WANAYANGA TUKO KAZINI.

2. Wilson Oruma
Huyu ni mchambuzi ombaomba , anasifika kwa kupiga wachezaji na viongozi wa vilabu mizinga, kosa ni umnyime mlungula hapo ndipo utakapojua hujui, ikumbukwe huyu na jemedari saidi ndio waliopewa dhamana ya kuivuruga Yanga sc nje ya uwanja kupitia platform waliyopewa radioni, Oruma amepewa kazi ya kukosoa kila jema la Yanga sc, kuleta taharuki na kupenyeza chuki kwa wachezaji wa YANGA dhidi ya uongozi, ni huyu oruma na jemedari ndio waliomshawishi feisal salum avunje mkataba kimakosa yanga sc, lakini ni watu hawahawa kwa kushirikina na mama wakala aitwae Jasmine ndio walioenda mbali na kumshawishi mayele aondoke yanga sc hata baada ya kuwa ameshakubali mkataba wa mwaka mmoja wa ziada kubakia yanga sc kwa mshahara wa dola 30k kwa mwezi. NAKUONYA WILSONI ORUMA YANGA SC, TUKO KAZINI
 
Jina huwa linasadifu uhalisia wa mtu. Jina huumba!

Unajiita Mwehu na unaaandika Wehu km jina lako.

Nb:Hakuna mtu ambaye ana afya njema ya ubongo asiyeelewa weledi wa Bin Kazumari. Yuko both realy and smart .
 
Umeshindwa kumtaja Yule wa radio wasafi
Msoma magazeti kwa kejeli
Shabiki kindaki ndaki wa Yanga
Hovyo kabisa yule
 
Jina huwa linasadifu uhalisia wa mtu. Jina huumba!

Unajiita Mwehu na unaaandika Wehu km jina lako.

Nb:Hakuna mtu ambaye ana afya njema ya ubongo asiyeelewa weledi wa Bin Kazumari. Yuko both realy and smart .
Kolo kwenye MOJA na mbili, Kula chuma hichooo
 
Katika maisha kumshambulia mtu aliye kuzidi katika maeneo mengi kwakua umepata kisemeo (redio, tv,gazeti au jarida) ni kujidhalilisha na haku kufanyi u mzidi au kuwa kama yeye.
 
Amri Kiemba kwangu ndiye mchambuzi ninaye mkubali kuliko wengi, pamoja na uchambuzi lakini anaupa mpira heshima.

Kiemba anajitahidi kuweka mihemko pembeni na kulizungumzia jambo kwa weredi mkubwa. Ukiwa huna unafiki na una ufahamu mpira vizuri ku uchambua ni rahisi.
 
Tuhitimishe kwa kusema hivii...ukifikiwa na hawa wachambwuzi vumilia tuu maana wanaboa kwa kupokezana...
 
Wasalaam wakuu!

Mara kadhaa nimekuwa nikiwafuatilia na kuwasikiliza baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kimichezo nchini, kupitia vipindi vyanzo mbalimbali vya habari, na nimegundua kuwa tasnia hii ya uchambuzi wa michezo hususani soka imevamiwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri, machawa, mashabiki hoyahoya wasiokuwa na upeo, wacheza kamali na wacheza soka wazamani wenye roho za kilozi na uelewa mdogo wa falsafa za michezo.
Aina hii ya wachambuzi wamepelekea tasnia ya habari za kimichezo nchini kuwa jukwaa la kushambulia maisha binafsi ya watu na taasisi fulani kwa manufaa yao binafsi au ya watu wanaowatumia.

Wafuatao ni baadhi ya wachambuzi wa soka la bongo ambao wamekuwa wakitumia vibaya fursa za kusikika redioni kushambulia watu na taasisi mbalmbali kwa mlengo wa chuki binafsi.

1.*Jemedari saidi kazumari*voice of voiceless *
Huyu ni mchambuzi mwenye visirani visivyo na maana, ni msambaza sumu mkubwa hususani linapokuja suala la Yanga sc, na hii ni kutokana na hapo awali kutaka kuwa miongoni mwa wagombea katika moja ya chaguzi pale jangwani, lakini baada ya jina lake na mgombea mwenzake kukatwa na mchezaji Faridi Mussa kuamua kuachana nae kama meneja wake, mtu huyu aligeuka na kuwa mbogo na alijiapiza kupambana na Yanga sc kwa kila namna, mbaya zaidi amekuwa akiwapiga mizinga wachezaji wa Yanga sc na aliponyimwa mlungula na dickson job, mtu huyu alianza kumshambulia kijana kwenye redio na page zake za mitandao yake ya kijamii.Hakuishia hapo amekuwa akimshambulia hata raisi wa klabu ya yanga sc ndugu hersi saidi kwa maneno ya kukera huku akimuita majina kadhaa ya maudhi kama "muhuni", "Tapeli", msomali mwizi and so forth,. NAKUONYA JEMEDARI SAIDI, WANAYANGA TUKO KAZINI.

2. Wilson Oruma
Huyu ni mchambuzi ombaomba , anasifika kwa kupiga wachezaji na viongozi wa vilabu mizinga, kosa ni umnyime mlungula hapo ndipo utakapojua hujui, ikumbukwe huyu na jemedari saidi ndio waliopewa dhamana ya kuivuruga Yanga sc nje ya uwanja kupitia platform waliyopewa radioni, Oruma amepewa kazi ya kukosoa kila jema la Yanga sc, kuleta taharuki na kupenyeza chuki kwa wachezaji wa YANGA dhidi ya uongozi, ni huyu oruma na jemedari ndio waliomshawishi feisal salum avunje mkataba kimakosa yanga sc, lakini ni watu hawahawa kwa kushirikina na mama wakala aitwae Jasmine ndio walioenda mbali na kumshawishi mayele aondoke yanga sc hata baada ya kuwa ameshakubali mkataba wa mwaka mmoja wa ziada kubakia yanga sc kwa mshahara wa dola 30k kwa mwezi. NAKUONYA WILSONI ORUMA YANGA SC, TUKO KAZINI
Nilipoona tu unajiita Mwehu Ndama sijataka hata Kujishughulisha au hata kupoteza muda wangu Kusoma Pumba zako ulizoziandika.
 
Juzi baada ya mechi ya Yanga na Kmc kuisha Jemedari Said alikuwa anamshambulia refa Kwa Nini hakumpa kadi nyekundu Aucho Kwa kumpiga Awesu. Katika maelezo yake refa unatakiwa kutoa kadi nyekundu Kwa mchezaji anayemsukuma mchezaji mwenzake, refa, kocha, shabiki au mtu mwingine yeyote.

lakini Cha ajabu hakuongelea golikipa wa Kmc aliyempiga mchezaji wake Hadi kocha kumpumzisha kipindi Cha pili . Yeye aliona ya Aucho tu. 🤣🤣.

Halafu hao unaowasemea ni watangazaji wa vipindi vya michezo sio wachambuzi.
 
Juzi baada ya mechi ya Yanga na Kmc kuisha Jemedari Said alikuwa anamshambulia refa Kwa Nini hakumpa kadi nyekundu Aucho Kwa kumpiga Awesu. Katika maelezo yake refa unatakiwa kutoa kadi nyekundu Kwa mchezaji anayemsukuma mchezaji mwenzake, refa, kocha, shabiki au mtu mwingine yeyote.

lakini Cha ajabu hakuongelea golikipa wa Kmc aliyempiga mchezaji wake Hadi kocha kumpumzisha kipindi Cha pili . Yeye aliona ya Aucho tu. 🤣🤣.

Halafu hao unaowasemea ni watangazaji wa vipindi vya michezo sio wachambuzi
Jamaa anahasira sana na Yanga sc, kauli mbiu yake ni kupambana na kila jema linaloihusu yanga sc
 
Back
Top Bottom