Ukiwa unafuatilia mitandao ya nje ya habari za soka kama ya sunsport, daily mail, espnsoccernet, goal.com, bbc, zonalmarking hutakuja usikie kipya kutoka kwa Dauda na wanahabari wengine wengi wa kibongo, lakini kwa Kumwembe kuna kitu kipya utakipata
Mkuu umemaliza kila kitu.
du,kwa hyo shafih ni mtu wa kucopy na kupaste
Ila ansaidia kwa wale wasiojishughulisha ku-search kwenye internet, hata humu wamo wengi unakuta mtu anatoa uzi alafu mtu anaomba kitu ambacho anaweza kwenda google
du,kwa hyo shafih ni mtu wa kucopy na kupaste
Na hilo ndio tatizo la wabongo wengi sana,wavivu wa kusoma nakutafuta data au habari mpya maana mtu anaweza kuja anakuuliza 'hivi Ricardo kaka anatokea nchi gani?? mtu wa namna hii yupo ana access ya internet kabisa then anakuuliza,sasa huu si uzembe kabisa.
Ndio maana yake mkuu, watu bado tupo kwenye system ya habari kupokelewa through word of mouth kwa uvivu wa kusoma paragraph mbili, ukitaka kumjua mchambuzi mzuri ni yule anaechambua soka kwa nyanja zote za nje na soka la ndani (alishawahi kuwepo Dr. Liki siku za nyuma alikuwa mkali huyo kwa soka la ulaya ila aliniboa siku alipoulizwa soka la Tz akabaki anambwelambwela tu kwa kusema huwa haangalii, heri yake yeye access ya internet wengi tulikuwa hatuna kutokana na technolojia enzi zile moderm peke yake ilikuwa inauzwa 250,000)
Du watoa maoni wana hasira sana na hawa watu!mimi naona kila mmoja ni mzuri kwa sehemu yake na tukio husika!Shaffii anapenda sana kuingia TFF ajue nini kinaendelea ndani na kupata kaulaji kidogo!ndio maana kuna wakati anakosa weledi na kushindwa kukemea hasa likiwa jambo zito la TFF anawafunikia!
Eddo ni mkali....
Shafii Ana copy na ku past..
Kinachonifanya ninunue gazeti la mwanaspoti kila weekend mojawapo ni ukurasa wa Eddo..
Jamaa namkubali nabali sana.!!
hivi ile kesi ya sihofii ushuhuda aka shafih dauda na tff ishaisha au bado hajapeleka vielelezo..
Back to topic edo ni mzuri tu.. shafi ni mkalimani wa goal.com
babumapunda ni vigumu kupambanisha mtu wa print media (Edo) na mtu wa electronic media (Shafii),kitaaluma wote ni waandishi wa habari lakini kiutendaji Wako tofauti sana.
ndo maana anajikomba kwao ili wamkubali. so hata wakifanya fyongo haishi kuwasifia ili apendwe. mia
babumapunda ni vigumu kupambanisha mtu wa print media (Edo) na mtu wa electronic media (Shafii),kitaaluma wote ni waandishi wa habari lakini kiutendaji Wako tofauti sana.
Ukiwa unafuatilia mitandao ya nje ya habari za soka kama ya sunsport, daily mail, espnsoccernet, goal.com, bbc, zonalmarking hutakuja usikie kipya kutoka kwa Dauda na wanahabari wengine wengi wa kibongo, lakini kwa Kumwembe kuna kitu kipya utakipata
unataka kuwa rais wa TFF lakini maandishi yako hapo juu yanaonyesha uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mno
du,kwa hyo shafih ni mtu wa kucopy na kupaste
bila shaka unaongelea makala yake ya NYUMA YA PAZIA
pia na makala nyngne inaitwa HISIA ZANGU?DAAH,jamaa kanifanya nimekuwa mtumwa kwa makala zake
hebu justfy hyo accusation yako kwa jamali malinzi