Edo kumwembe unakera!!!

Edo kumwembe unakera!!!

Kuna waziri mmoja hivi majuzi alizua sokomoko kwa kuwaambia wazungu wasituzingue na hapa namnukuu, "We have our own ways of doing things, so no one should intervene our programs"

Kwa taarifa tu, mkubwa wake na huyo waziri ali.apologize!
 
Sema 'unanikera' nikiimaanisha usiwasemee wengine,.
 
Namuheshimu kama moja ya wachambuzi mahiri wa soka kibongobongo na mwandishi mahiri wa makala lakini hii tabia yake aya kusifia kila kitu cha uzunguni inakera sana..yaan kwa huyu jamaa kila kitu anataka watanzania tukopi toka nje...mfano had jinsi ya kudiscuss soka et tuige wabrazil huwa hawakosoi makocha km wabongo..mm naona sio kila kitu tuige!! we have our own identity..sisi ni watanzania na tutabaki kuwa hivyo..ninajivunia utanzania wangu,!!! siku nyingine Edo fikiri vizuri...
na wewe unakera pia

Edo amekuudhi kitu kimoja unataka kusahau ubora wake wote wa kazi nzuri anayofanya

sometimes haitii shaka kuja kusema tu kwamba edo hongera kwa kazi nzuri lakini unaomba utofautiane nae kwenye baadhi ya hoja

Title yako haiendani kabisa na uwezo na ubora wa Eddo kwenye kazi yake
 
Ikiwa Edo anatuhasa kuiga vyema kutoka brazil ubaya uko wapi!erve when a lovely young girl opened the door. Instead of a meal, he asked for a glass of water.

The girl thought, he looked hungry. So, she brought him a large glass of milk. He drank it slowly, & asked thereafter: how much do I owe you? You don't owe me anything, she replied. Mother has tot us never to accept pay 4 kindness. He said, then I thank you from the bottom of my heart.

Years later, that girl (now a woman)became critically ill, & the local doctors tried their possible best to save her life but they couldn't cure her. They finally sent her to the big city where specialists studied her rare illness. Dr. Kelly was called in for the consultation, when he heard the name of the town where she came from, a strange light filled his eyes.

Immediately, he rose & went down the hall of the hospital to her room. He recognised her at once. He went back to the consultation room determined to do his best to save her life. From that day, he gave special attention to that case. After a long struggle, the battle was won! Dr. Kelly requested the business office to pass the final bill to him for approval. He looked at it, then wrote something on the bill and It was sent to her room.

The woman feared opening it cos she was sure it might take the rest of her life savings to pay for it . Finally she looked, & noticed something was written at the edge of the note, 'Paid In Full With a Glass of Milk'. Tears filled her eyes as she immediately remembered.

Every form of kindness you show is never in vain, it reproduces itself. Well, not necessarily before your eyes, but it always does. I've been kind to you by sharing this story.
Be kind to share it with others.
Its good to be good. Always be nice: It will come back to you.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Soka sio fani yetu,ndo maana tukiambiwa tuige kwa waliotuzidi hatutaki.
 
Eddo Kumwembe mti wenye matunda ndio upigwa mawe, piga kazi ww mwandishi bora wa michezo bongo ukifuatiwa na Saleh Ally
 
Namuheshimu kama moja ya wachambuzi mahiri wa soka kibongobongo na mwandishi mahiri wa makala lakini hii tabia yake aya kusifia kila kitu cha uzunguni inakera sana..yaan kwa huyu jamaa kila kitu anataka watanzania tukopi toka nje...mfano had jinsi ya kudiscuss soka et tuige wabrazil huwa hawakosoi makocha km wabongo..mm naona sio kila kitu tuige!! we have our own identity..sisi ni watanzania na tutabaki kuwa hivyo..ninajivunia utanzania wangu,!!! siku nyingine Edo fikiri vizuri...

Ndio maana soka letu haliendelei kwa sababu hatujifunzi na ni wabishi
 
Kwa hapa nchini edo anaongoza kwa kushughulisha kichwa chake,siyo hao wengine wanatafsiri 100% makala na maoni ya wachambuzi wa nje,tena kama lugha imemshinda huwa wanaweka kama ilivyo...hata kama anakosea baadhi ya mambo ni kawida kwa binadamu ila huwez kumlinganisha na mchambuzi yoyote hapa nchini..yupo juu kimtazamo kuliko hao wengine...
 
Wanamwita edo kumwembe katika ubora wake..nakukubali sana mkali edo..mi nanunua gazeti la mwanaspoti kwa sababu ya makala za Edo..Nasema tena edo kumwembe katika ubora wake..piga kazi kaka wengi tunakuelewa
 
Saleh Ally pimbi tu kwa Eddo.ye saleh ally anachoweza kuandika ni negativity tu za simba lakini kwa yanga yupo kimyaaa

Wewe Haufuatilii Makala Za Edo, Ungekuwa Unafuatilia Ungeona Jinsi Gani Anavyouponda Uongozi Wa Yanga Kila Baada Ya Matoleo Mawili Matatu, Huku Simba Akiwapa Ushauri Tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom