SYMBOLOGIST
Member
- Apr 10, 2014
- 72
- 32
Namuheshimu kama moja ya wachambuzi mahiri wa soka kibongobongo na mwandishi mahiri wa makala lakini hii tabia yake aya kusifia kila kitu cha uzunguni inakera sana..yaan kwa huyu jamaa kila kitu anataka watanzania tukopi toka nje...mfano had jinsi ya kudiscuss soka et tuige wabrazil huwa hawakosoi makocha km wabongo..mm naona sio kila kitu tuige!! we have our own identity..sisi ni watanzania na tutabaki kuwa hivyo..ninajivunia utanzania wangu,!!! siku nyingine Edo fikiri vizuri...