Nakuunga Mkono 100%Kikwete uongozi wake ulikua lax sana, lakini Kikwete ni smarter na calculating kuliko Magufuli, hasa linapokuja kwenye masuala ya kisiasa na mahusiano, sisemi kuwa uhusiano wake na Kagame ni mbaya ila azingatie kuomba ushauri kwa jamaa tu kwenye haya masuala,
Huyu mstaafu wetu amejaliwa uso wa bashasha, atakuwa anacheka tuSijui jk anajisikiaje juu ya urafiki wa PK na JPM
Hivi ni like comment yako itaonekana na mimi nakusapoti??Kibaya zaidi hawa watu wanatofautiana u-smart,PK yuko smart mpaka inaogopesha ila huyu wetu mmmh hata anavoongea ni dhahiri kuna mambo huwa hayajui.
Nini kuzingirwa huyu anatakiwa apakatwe.Aliyetoa hii post azingirwe!