mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
huyu bwana mdogo nakumbuka enzi za miaka ya 2000 katikati alikua anaendesha vipindi vya watoto ITV...naona sasa yupo meneja uhusiano NBC..nimependa ukuaji wake...au ni mwingine?

Ndio yeye na kaoa.
topic closed
topic closed