Ed Sheeran alitunga nyimbo kukabiliana na msongo wa mawazo baada ya kifo cha rafiki yake

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Kila mtu anamambo yake ambayo hufanya ili kukabiliana na msongo wa mawazo pale ambao hukabiliwa na matukio yenye kumuumiza kiakili na kihisia. Wengine huchagua kujitenga na watu kwa muda, kusikiliza muziki au wengine huishia kwenye uraibu wa pombe. Hali ikoje kwa upande wako?

Akitangangaza kutoka wa Albamu yake ya Sauti (acoustic album) iitwayo -(Subtract), Mwanamuziki Ed Sheeran amesema Mwaka 2022 wakati akiandaa albamu hiyo alikuwa akipitia Sonona kutokana na Kifo cha Rafiki yake Jamal Edwards na Mke wake kugundulika na uvimbe akiwa Mjamzito

Amesema matukio hayo yalibadilisha maisha yake, afya yake ya akili na jinsi alivyoutazama Muziki, hivyo alianza kutunga nyimbo za albamu hiyo kubabiliana na upweke aliokuwa nao
 
Napenda Hizi nyimbo zake




Na huu pia




Hayo Mengine apambane nayo hata sisi wasikilizaji wake tuna sonona zetu.
 
Back
Top Bottom