Banjui. Askari wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (Ecowas) wamegundua kemikali ya sumu kali iliyokuwa imetegwa kwenye vyumba vya Ikulu.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Ecowas kupitia gazeti la Freedom la Gambia, kemikali hiyo ilitegwa kwa lengo la kuua mtu yeyote atakayeingia ndani ya Ikulu hiyo.
Kutokana na hali hiyo, kiongozi mpya wa Gambia, Adama Barrow anatakiwa kuendelea kukaa Senegal kwa usalama wake huku uchunguzi ukiendelea kufanyika.
Source: mwananchi online.
WEDNESDAY, JANUARY 25, 2017
Wakiwaua wakuu wao, then wao watakula wapiHawa najamaa sometime hata walinzi wao uwa nawashangaa sana .....
Kuna watu ni wakupiga risasi tu wafe hawana faida yeyote.............
hifadhi ya kisiasa kaenda kupewa na dikteta mwenzie wa equatorial Guinea ambaye yuko on line since 1979.birds of a feather...DUh !! yaani binadamu ni mdudu wa kuogopwa kuliko viumbe vyote duniani, yaani mtu anadiriki kuweka sumu kuuwa binadamu mwenzio kisa madaraka!!Halafu huyu rais alietoka si ni alhaji alikwenda kuhiji macca?
waliompa hifadhi ya kisiasa wamrudishe kwake hafai hata kufadhiliwa shetani mkubwa huyo