CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,481
Uongo uongo uliokubuhu babu acha uongo hicho chuo kina website na kila siku naingia kwenye website yao ambayo ni WW.ETU .AC.TZJamani hizi ni university za vipi. Inaitwa University lakini haina website. Kuna watoto wamechaguliwa kwenda pale sasa sijui wanapataje kujua chuo kikoje na mahitaji yake! I doubt its credibility, parents beware of this!
Nenda sasa hivi kaingie! Unabisha tu! Hakuna tangazo kuwa it is temporarily disabled!Uongo uongo uliokubuhu babu acha uongo hicho chuo kina website na kila siku naingia kwenye website yao ambayo ni WW.ETU .AC.TZ
Sasa wewe kumbe elimu yako ni shida haikusaidii kabisa kama neno temporarily disabled ndo limekuchanganya wakati hata tcu wakati mwingine waga inaandika hivyo think bigNenda sasa hivi kaingie! Unabisha tu! Hakuna tangazo kuwa it is temporarily disabled!
Stupid nakuzidi elimu mpuuzi we! Nina uhakika nakuzidi!Sasa wewe kumbe elimu yako ni shida haikusaidii kabisa kama neno temporarily disabled ndo limekuchanganya wakati hata tcu wakati mwingine waga inaandika hivyo think big
Niko Tanga tena hapa Kange ubavuni mwa hicho chuo! Nakijua usivyodhani.Acha kuzingua. etu.ac.tz ndo website ya chuo sasa si ungeuliza tu mkuu tukusaidie View attachment 409788
Kifupi ni kwamba kile chuo kiko hoi kifedha. Hata waalimu wengine wameshasepa. Kuna ndugu yangu amemaliza pale, diploma level, na baadhi ya matokeo yalichelewa kutoka kwa kuwa walimu wanaodai waligoma nayo.bandwidth limit exceed, ndicho kinachotokea pale unapoandika www.etu.ac.tz
Link inafunguka fresh tena wana website ya ukwelibandwidth limit exceed, ndicho kinachotokea pale unapoandika www.etu.ac.tz
Link inafunguka fresh tena wana website ya ukwepibandwidth limit exceed, ndicho kinachotokea pale unapoandika www.etu.ac.tz