mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Kuishi kwenye ndoa miaka mingi sio sababu. Mwambie tu unampenda, tena ukitaka anza sasa. Lkn usimwambie kwa utani jaribu kumwambia toka moyoni. hivi ni nani asiyependa kuambiwa nakupenda, naamini hakuna. Maisha ya ndoa yanabidi yaboreshwe kila siku . Nakumbuka kipindi fulani nilikua nashughulika na wanandoa hasa ktk kuboresha mahusiano wengi walisema wangependa kuonyeshwa upendo kwa neno na kwa vitendo pia. Hili neno nakupenda huwa halichuji bwana hasa unapoambiwa na mwenzi wako inaleta furaha sana.wote wambea tu! mi ninavyoelewa kama unavyompenda unampenda tu hata usipomwambia kwa mdomo unaweza ukamwambia kwa vitendo na akakuelewa tu haya mamb0 ya mkeo unae miaka 20 eti bado atake kuambiwa nakupenda kila asubuhi, kwa kweli kiuhalisia haileti maana. tuwe wakweli ukiwa mke na mume kadri miaka inavyoenda kuna baadhi ya vitu vinakwisha tu
Kweli mambo haya ni ya zamani? Mhhhhhhhhhhhh!Hayo ya zamani..!
huyu kesha-assume kwamba ni foreplay ya kuombwa naniliu usiku/WANAUME kwenye Semina Wakaulizwa! Mara Ya Mwisho kumwambia Mkeo UNAMPENDA Ni Lini? Wengi Wakasema Leo Asubuhi. MWEZESHAJI Akawaambia Kila Mtu Sasa Hv Amwandikie Mkewe Msg Amwambie "NAKUPENDA MKE WANGU" Halafu Badilishaneni Simu kila Mmoja Asome Majibu Ya Mwenzake!. MAJIBU:-
1. Unaota Au?
2. Umekumbwa Na Nini?
3. ???!!!!
4. Utanieleza Hii Sms Ulikuwa Unatuma Kwa Nani?
5. Leo Sikusamehi kuna Jambo Tu.
6. Huyo Uliye Nae Ndo Kakwambia Unitumie Hii Sms?
7.Sema Unachotaka.
8.Leo Hunipati Ng'o!
9. Nani mwenzangu??
Kuishi kwenye ndoa miaka mingi sio sababu. Mwambie tu unampenda, tena ukitaka anza sasa. Lkn usimwambie kwa utani jaribu kumwambia toka moyoni. hivi ni nani asiyependa kuambiwa nakupenda, naamini hakuna. Maisha ya ndoa yanabidi yaboreshwe kila siku . Nakumbuka kipindi fulani nilikua nashughulika na wanandoa hasa ktk kuboresha mahusiano wengi walisema wangependa kuonyeshwa upendo kwa neno na kwa vitendo pia. Hili neno nakupenda huwa halichuji bwana hasa unapoambiwa na mwenzi wako inaleta furaha sana.
Kweli mambo haya ni ya zamani? Mhhhhhhhhhhhh!