Ebu ipe maneno hii picha

Jagermaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
654
Reaction score
321
Mimi naona hapo Mamvi kimoyomoyo anasema.. Kijana nitakunasa vibao mimi, shukuru tupo katika hii kadamnasi. Harafu Sumaye naona kama anacheka vile. Serukamba kwa nyuma anazomea ..mmmmmmmh Mnafiki huyo. Wadau ebu leta maneno kwenye picha hii
 
"Safi sana dogo kwa kuua soo jana, teh teh kweli bwana itawezekanaje tulengwe watatu siye tu?"
 
wewe si umeisha ipa maneno tayari....mbona unasumbua wanajamvi?
Kwanza haina umuhimu wowote katika jamii...
 
wewe si umeisha ipa maneno tayari....mbona unasumbua wanajamvi?
Kwanza haina umuhimu wowote katika jamii...


Hapana bana kama wewe wasumbuka umeingia kufanya nini JF maana maada zote zinakufanya ufikiri ambalo ni usumbufu kwa namana mmoja au nyingine.............tujifunze kukubaliana katika kutofautiana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…