Murano
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,056
- 1,129
Mgonjwa mmoja wa Ebola alipanda madhabahuni kumshukuru
Mungu kwakua AMEPONA,
Baada yakumaliza ushuhuda ile MAIKI akairudisha kwa
Mchungaji!
** Mchungaji akamwambia mpe mzee wa kanisa!
** Mzee wa kanisa akamwambia mpe kiongozi wa Ibada!
** Kiongozi wa ibada akasema mimi sihusiki na mambo ya
ushuhuda mpe Katibu!
ASKOFU akaona ni usumbufu wa hali ya juu, akamwambia
hiyo MAIKI umezawadiwa nendanayo tu nyumbani!
‪#‎Ebolaaaa‬ ni sheeeeeda!
"VIPI UNGEKUWA NDO MCHUNGAJI..."