Ebola imeingia Tanzania?

1568575145957.png
 
[QUOTE="MISULI, post: 32830909, member:
Unataka serikali iseme kuna Ebola hata kama hamna?
Wew pandikizi LA lumamba mnawazia sehem gani ya mwili?
Hii siyo politiko[/QUOTE]Vipi Leo Ebola imeua wangapi?
 
Jana nilienda kanisani maeneo ya kimara.
baada ya ibada alisimama mama mmoja aliyejitambulisha kama mtaalamu kutoka wizara ya Afya. yule mama alitutahadharisha tuchukue tahadhari na ugonjwa wa ebola.miongoni mwa sababu alizosema ni kwamba ugonwa ule waweza kuwepo nchini kwa maana tunazungukwa na walioathirika
Swali mama yle alitumwa nanani na kwanini alifika pale? aliongea kama muumini au mtaalamu wa afya?
serikali kuweni wawazi ugonjwa upo nchini
wasalaam
 
umbea
 
Uyo mama watamtafta wasiojulikana.

Huu ugonjwa upo tz mimi imeona barua za confidencial walizotumiwa wakurugenzi wa mahospitali makubwa hapa nchini. Wametaadhalishwa juu ya kuwepo huu ugonjwa hapa nchin.

Cha kushangaza jana waziri anasema ugonjwa haupo ila tuchukue taadhari. Mimi hapo ndipo nashindwa amini hii serikali.

Usiniulize izo barua nimezionaje.
 
Wakuu tetesi nilizozipata ni kuwa hofu ya kuingia kwa homa ya ebola imezidi kusambaa baada mgonjwa alielazwa hospital moja ya mkoa huko kusini mwa tz kufariki usiku wa kuamkia leo na kuamriwa kuzikwa haraka leo hii hii.. Najua kuna wenye taarifa sahihi ya hizi tetesi anaweza kutuwekea hapa.. Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom