Mposonge Member Joined Oct 6, 2014 Posts 84 Reaction score 19 Oct 21, 2014 #21 Tatizo la wahaya ndiyo hili,ghafla jukwaa limeshakuwa Bukoba forum.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,578 Reaction score 18,952 Oct 21, 2014 #22 Mauro balaa....
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,290 Reaction score 2,822 Oct 21, 2014 #23 Salamander said: ​Huwa nawashangaa sana watu wanaosema dagaa ni mboga. Lakini sawa tu bora liende, kuna jamii nyingine dagaa ni chakula cha nyau. Click to expand... Nyambafu.
Salamander said: ​Huwa nawashangaa sana watu wanaosema dagaa ni mboga. Lakini sawa tu bora liende, kuna jamii nyingine dagaa ni chakula cha nyau. Click to expand... Nyambafu.
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,290 Reaction score 2,822 Oct 21, 2014 #24 Mkuu no. 1 na 2 ni maharage au msholo? No. 2 na 3 imechanganywa na mchuzi wa mawese?
K KABAZI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2010 Posts 303 Reaction score 11 Oct 21, 2014 #25 Ekyo kyo omuka, koikumalao wakwata akagilasi akenguli olaleka!!!!!
K KABAZI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2010 Posts 303 Reaction score 11 Oct 21, 2014 #26 Mposonge said: Tatizo la wahaya ndiyo hili,ghafla jukwaa limeshakuwa Bukoba forum. Click to expand... Oyaaaaa wivu huo
Mposonge said: Tatizo la wahaya ndiyo hili,ghafla jukwaa limeshakuwa Bukoba forum. Click to expand... Oyaaaaa wivu huo
K KABAZI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2010 Posts 303 Reaction score 11 Oct 21, 2014 #27 Kyenju said: Mkuu no. 1 na 2 ni maharage au msholo? No. 2 na 3 imechanganywa na mchuzi wa mawese? Click to expand... Namba 1 ni maharage na Dagaa na namba 2 ni nsholo kwa nyamaa namba 3 ni maharage meupe na nyama
Kyenju said: Mkuu no. 1 na 2 ni maharage au msholo? No. 2 na 3 imechanganywa na mchuzi wa mawese? Click to expand... Namba 1 ni maharage na Dagaa na namba 2 ni nsholo kwa nyamaa namba 3 ni maharage meupe na nyama
Mposonge Member Joined Oct 6, 2014 Posts 84 Reaction score 19 Oct 21, 2014 #28 KABAZI said: Oyaaaaa wivu huo Click to expand... Wivu wa kula panzi na ndizi juu ya jani la mgomba.
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,751 Oct 21, 2014 #29 Mposonge said: Tatizo la wahaya ndiyo hili,ghafla jukwaa limeshakuwa Bukoba forum. Click to expand... Ndio hapo sasa, halafu kwa kujifanya wasomi kumbe bure tu, sasa hapa dagaa wanaita mboga, sasa mboga mboga na dagaa wapi na wapi?
Mposonge said: Tatizo la wahaya ndiyo hili,ghafla jukwaa limeshakuwa Bukoba forum. Click to expand... Ndio hapo sasa, halafu kwa kujifanya wasomi kumbe bure tu, sasa hapa dagaa wanaita mboga, sasa mboga mboga na dagaa wapi na wapi?