Ebitoke meets BenPol.....!!!

Hehe dah, aisee wameulamba balaa. Kumbe ufuta akiwekwa sawa anakua mrembo.
 
sildi yake keshachukua? maana nilisikia kanunuliwa zawadi ya namna hiyo toka yupo kijijini
 
duhh!!! ebitokeeeee, penye nia pana njia, express your internal feelings tell a truth to whom you feel to love!!!
 
Kwa hiyo kila msanii kaamua kufuata nyayo za harmorapa😱
 
Ningekuwa mimi kinikia unachenjua taratibu tu kabla ya wajanja wa town kushituka
 
Ndio maana'ke. if you can't beat them, join them. Ameona naye aanze kutafuta kiki ili awe kama harmorapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…