Ebay seller

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Wadau,

Nilifanya purchase online ya tablet miezi miwili iliyopita lakini item haijafika mpaka leo.... Nilifungua case ikawa closed na paypal ila nikam contact seller akawa amekubali kuni refund nusu ya hela coz anasema item isipofika kwangu lazima itarudi kwake tena... jana nimekuwa refunded ila pesa paypal then wakairudisha kwa account yangu ya CRBD ila kila nikicheck salio sion ongezeko la pesa... Inakuaje hapo? what to do ili nipate pesa yangu???
 

Attachments

  • trans.jpg
    34.6 KB · Views: 133
Watumie hawa email ukiambatanisha na hicho kielelezo, pesa yako baada ya siku kadhaa itaonekana kwenye akaunti yako. Pia ukumbuke kutaja A/C info yako.

customer-hotline@crdbbank.com
 
Thanx Alpha 1 niliwatumia after two days nikacheck salio nikakuta mzigo.....
 
Last edited by a moderator:
Kwa kukushauri, ukishafingua kesi E Bay usikubali kamwe kuongea na seller nje ya ebay mkayamaliza. Kuna wahuni ambao wanakuuzia kitu. Unalipia halafu hakitumi kwako, ukifungua kesi wanaizuia hela, anakaa kimya anakusubiri umtafute ukishampata anakwambia hawezi kukutumia mzigo kwa kuwa umefungua kesi, anakushawishi ufunge hiyo kesi, ukishafinga E Bay wanajua tatizo lako limeisha, akishachukua hela imekula kwako mazima. Hiyo imeshwahi kumtokea mwanangu mmoja, so michezo kama hiyo ipo mingi sana ebay budies. Nakushauri ukishafungua kesi usikubali kabisa kumalizana na seller nje ya ebay utaliwa.
 

asante sana,, sasa kwa wenye uzoefu ni mtandao gani tunaweza kununua Online kwa usalama zaidi..?
 
asante sana,, sasa kwa wenye uzoefu ni mtandao gani tunaweza kununua Online kwa usalama zaidi..?
  • Amazon
  • Myhabit [Only invited amazon user]
  • Ebay [wengi tunatumia ila yakupasa umtafiti kwanza huyo reseller ] kabla ya kuweka order
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…