Easy TV

Easy TV

Datus

Member
Joined
Nov 24, 2009
Posts
10
Reaction score
1
Wakuu naomba mwenye uzoefu na king'amuzi cha easy Tv, anijuze maana naona startimes inaniletea uzinguzi
 
nlishakitumia tangu mwaka 2008 kiko poa sana
channels za news, local karibu zote zipo clear kabisa ma nyingine za movie.
kama uko dar nenda pale mwenge mpakani kuna office zao na sehemu zingine
 
Thanx mkuu, je kuna gharama za kulipia kila mwezi?
 
Gharama za Easy Tv ni 120,000/= then utakuwa unalipia shs 9000/= kila mwezi na channel zake zipo clear sana haina shida au piga 0713 378379 atakuja kukufungia hadi hapo nyumbani ni mtumishi wa Easy Tv
 
hii inapatikana dar pekee?

Yah, ni Dar pekee inapatikana, na unatumia antenna tu na king'amuzi, haina dishi. Channel zao ziko clear sana, wala hazi scratch. Local channels zilizopo ni ITV, Star TV, Channel 10, EATV, DTV, Mlimani TV, TV Tumaini, TBC1 na Capital. News wana BBC, Aljazeera na CCTV. Kwa wapenzi wa mieleka na masumbwi kama mimi kuna Optima channel! Ni nzuri kwa mtu wa kipato cha wastani
 
Back
Top Bottom