BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,368 Reaction score 6,874 Dec 31, 2017 #1 Napenda sana utulivu hasa kipindi hiki cha mapumziko hapa nasikiliza kipindi cha easy sunday clouds radio huku naendelea na JF. Muwe na maandalizi mema ya kuelekea siku inayofuata ya 2018.
Napenda sana utulivu hasa kipindi hiki cha mapumziko hapa nasikiliza kipindi cha easy sunday clouds radio huku naendelea na JF. Muwe na maandalizi mema ya kuelekea siku inayofuata ya 2018.