Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,483
Kuna wakongo fulani nilikuwa naongea nao hapa, wanamchukia sana kabila na wanaamini kabila joseph ni mnyarwanda. pia wanaamini kuwa marehemu baba yake kabila aliomba msaada toka kwa Rwanda na Uganda kusaidiwa kuchukua nchi akiwaahidi kuwa AKISHINDA VITA ATAWAMEGEA eastern congo ili iwe part of the bahima empire.
Alipopata urais akawageuka ndio maana nyamwasa anasema kagame aliahidi kuwa atamshughulikia kabla na kweli kabila alikuwa assassinated. baada ya hapo kagame akaanza kuunga mkono akina laura nkunda na wengine ili waimege eastern congo ijitangazie uhuru halafu muda mfupi ijitangaze au kupiga kura ya maoni kuungana na Rwanda, kwa mpango huo Rwanda ambayo ina population kubwa sana na kanchi kadogo kama dodoma ingepata eneo kubwa zaidi la watu wake kuishi.
Vilevile inasemekana kagame anaamini hakuna rais yeyote anayeweza kumtisha hapa africa mashariki. ndio maana alikuwa na ujasiri hata kumwambia kikwete atampiga, alikuwa na uhakika kuwa uwezo huo anao na hata sasa anaamini kuwa uwezo huo anao kumpiga kikwete.
Mikoa ya Kagera na Kigoma, Mwanza na Shinyanga na Geita ambako wamejaa wanyarwanda na warundi wengi, inasemekana nayo kagame anaamini ingekuja kuwa kama eastern congo. EASTERN CONGO ni nchi ya congo lakini raia wake walio wengi ni wa asili ya Rwanda na wanajitambulisha kama wanyarwanda na wanaamini kuwa kuna siku eastern congo itaungana na rwanda.
Hivyohivyo huko Karagwe, Biharamuro na maeneo mengine inasemekana kuna wanyarwanda wengi wanaamini hayo kuna siku yatakuwa maeneo yao. WAKIMBIZI WALIOKUWA WAMEFURUSHWA NA operation kimbunga wamerudi karibia wote kisirisiri na kwasasa mikoa kama ya geita ujambazi ni kama kawaida ndio maana hata juzi hapa waliteka kituo cha polisi Ushirombo.