Ndugu yetu Koba, naomba unifahamishe kidogo, kwani nyie wanyarwanda kila mtu ana ID? Hata hivyo uelewa wangu nchi yenu na idadi yenu ni ndogo kama mkoa mmoja tu wa Tanzania!?
Ndugu yetu Koba, naomba unifahamishe kidogo, kwani nyie wanyarwanda kila mtu ana ID? Hata hivyo uelewa wangu nchi yenu na idadi yenu ni ndogo kama mkoa mmoja tu wa Tanzania!?
kenyans use their passports as id's. so what is the difference??
second, more kenyans have kenyan passports than the sum total of tanzanians that own tanzanian passport.
plus if the other 4 nations descide to use ID's then at some point tanzania will have to do the same thing.
i dont see the big deal about this but if tanzanians like this rule then more power to them.
...na hapo bado wanachinjana!!
Very dowdy indeed, I won't be wrong to call you the most counterfactual guy on the forum, and you jazz me a lot. Wewe uliyekwenda shule hukufunzwa kufuatia maagizo. Since the beginning u've been trolling, don't you notice that, which of any your posts is related to the main issue in any way. All you do is analyze comments of others, a clear sign of obliviousness. Worse, you don't even seem to grasp the content in the posts. Who talked about HOLYWOOD and Familia, not me definitely.
It would be best if quit being shy and give us your take on EAF, so we can analyze you too, but don't just keep on trailing behind comments and trying to improve what has already been said, it gives an obtuse image of yourself.
Steve..majibu ya Koba hapo juu yanajieleza wazi na kuonesha wengi wao ni watu wa namna gani...hivyo kuchinjana ni jadi yao!
Very dowdy indeed, I won't be wrong to call you the most counterfactual guy on the forum, and you jazz me a lot. Wewe uliyekwenda shule hukufunzwa kufuatia maagizo. Since the beginning u've been trolling, don't you notice that, which of any your posts is related to the main issue in any way. All you do is analyze comments of others, a clear sign of obliviousness. Worse, you don't even seem to grasp the content in the posts. Who talked about HOLYWOOD and Familia, not me definitely.
It would be best if quit being shy and give us your take on EAF, so we can analyze you too, but don't just keep on trailing behind comments and trying to improve what has already been said, it gives an obtuse image of yourself.
Vizuri! Sasa umenipata, tunaweza tukajadili vizuri kuliko huko mwanzo. Na nilitaka ufike hapa.
Kuhusu mawazo yangu juu ya EAF: Wajua nimeanza kuingia katika huu mjadala wakati tayari post 1000 zimeshatumwa. Na nikatulia kwa siku moja na kuzisoma zote kwanza. Na nikagundua kuwa, kuna wengi wameandika tayari mawazo ambayo yanalingana na yale yangu. Sikuona sababu ya kukaa na kuandika habari ndefu za marudio, kwani kufanya hivyo ni sawa na kusema eti umegundua pythagoras theorem leo, ambayo ilikuwepo tayari miaka mingi. Au kuandika kitabu ukirudia point hizo hizo ambazo mwenzako ameziandika, na kuonekana kama kopy. Katika JF hatupotezi wakati namna hiyo, pengine hayo mnafanya katika blog za Kenya.
Na kwamaana hiyo ndio maana naandika Chanzo au muanzilishi wa post hiyo. Unajua JF sio mahala pa kubishana au kuonyesha kuwa wajua zaidi, bali hapa ni pahala pa kuelimishana au ukipenda ni shule iliyojitosheleza. Kama unashiriki kwa nia ya kubishana basi nakushauri utafute Blog nyingine.
Karibu katika mjadala endelevu na educative.
achana na hawa mafala. hawawezi shika rada. nimafala na wamesota mbaya sana.
mtu hana any lakini anabishana na sonko kama smatta. enyewe hawa wadhii jo wananijazz sana
hahahaaa... as useless as i expected, anything else you wanna tell me, guess no. I know you are also one of those struck with the EAF phobia too and i let you flow with it. We gon run the business just like we do it, whether u scared or not. No need for even trying to persuade you further that you'll benefit, you will if you want. I just realized that there ain't need to capitalize communist minds, just as you won't get anything.
Hope that heals your sobs, you just cry too bad i feel sorry for you.
RealDull, nilijua toka day 1 katika mjadala huu kuwa katika mind yako unachofikiri ni kwamba watanzania wanahitaji kukumbatuia Ukomunist na wanaogopa ubepari. Hapo umekosea kabisa kwani Watanzania wengi wameshaukumbatia ubepari na huwarudishi nyuma.
Kinchojadiliwa ni Ubepari utaomfaidia mwananchi, nza hapa ndipo ambapo wewe unashindwa kuelewa. Hata hivyo hatutachoka kukuelimisha, kwani kila aliyekuja JF akiwa RealDull baada ya miezi miwili anakuwa RealMind au UKIPENDA RealDeal.
Karibu darasani!!!!!!!!
Umenipata, well done, ujumbe umefika!
Sikiliza, ni zaidi ya post 1000 zimetumwa pale nilipoingia ulinmgoni katika thread hizi mbili za EAF. Sioni haja ya kurudia yaliyokwisha semwa. Najua waliowengi hata hawasomi yaliyokwishaandikwa na kukimbilia kurudia point hizo hizo. Ukweli ni kwamba katika post 1000, ilibidi kuwe na post 200 tu. Karibu post 800 ni marudio ya point hizo hizo, kazi kama hiyo siifanyi.
Eti unaniita mkomunist katika moja ya post zako, well kama summary yako katika -A MUST READ POST' ndio hiyo basi nakupa pole. Kwa maneno mengine unakubaliana na NJONJO kwani nafikiri hapo ndipo palipo kugeuza 180 degree. Na kufikiri kuwa yote aliyoandika Waberoye ni mision imposible.
Karibu katika chemsha Bongo na starehe, uwanja wa majadiliano uilio wazi.
Hapana wasiungane kuwa nchi moja bali wasubiri kwanza wakomae ki-demokrasia😛ound:Licha Ya Kukaribisha Burundi Na Rwanda Kujiunga Na Eac,mimi Napenda Kuziomba Hizo Nchi Ziungane Na Kuwa Nchi Moja Kama Mataifa Makubwa Yalivyofanya Kwani Maendeleo Yako Nadani Ya Bara Letu So Tukiungana Na Kuwa Kitu Kimoja Tutaweza Kuutokomeza Umaskini.
Ukiangalia Nchi Za Bara La Africa Ni Vipande Vidogo Vidogo Sana Katika Nchi Kama America Au Hata South Africa, Kwa Hiyo Tuungane Na Tuwe Na Raisi Mmoja Na Wafuasi Wake Kama Vile Senetors And Governors Kutoka Kila Nchi Shiriki.
I Know It Will Take Time But Finally Inawezekana Kwani Ni Plans Tuu Na Makubaliano.
Good Lucky.
Hawa mungiki Abuu anawalea, walitakiwa wawe banned from the forum long time ago.Smatta, badala ya generalisation kwa kuwaita wabongo vilaza, ingelikuwa jambo la busara sana kwako wewe uliye mwelevu kama ungeelezea sababu zako kwa kuchanganua habari iliyowekwa hapo juu.
Tanzania imechukua mkondo sahihi kusisitiza raia wa nchi wanachama wa EAC kutumia passports na si National Id.
Zipo sababu mbili muhimu ambazo Tanzania isingeweza kuziepuka.
[1] Tanzania haina National Id cards,Hii ingepelekea raia wa nchi zenye national id cards kuwa na nafasi kubwa ya kunufaika na fursa ziliko Tanzania wakati watanzania wengi wasiokuwa na passport kubaki kama watazamaji tu.
[2] Suala la ulinzi na usalama ni muhimu sana kwa amani ya Tanzania.Nchi ya Kenya ina tatizo kubwa la wakimbizi wa kisomali na Ethiopia ambao kama Tanzania ikikubali national id cards kuna uwezekano mkubwa wakatumia id za Kenya kuingia Tanzania na kufanya uhalifu.Pia level ya ujambazi Kenya ni kubwa mnoo ukilinganisha na Tanzania,mji wa Arusha na Kilimanjaro ni mashuhuda wazuri wa suala hili.Tanzania ni nchi iliyozungukwa na nchi zote za EAC,nchi za Burundi na Rwanda bado zina matatizo ya usalama kuondoa passport ni kuruhusu kuhamishia matatizo ya hizo nchi Tanzania.
Naipongeza serekali ya Tanzania kwa kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya mungiki & co.
Thanks, but it's not necessary. I suggest you take your classes to your fellas in dar-in-the-slum, they badly need your type of schooling.
Kabla ya Ulaya kuungana kila nchi ilikuwa na maendeleo kiasi gani?
I am always joking the very same joke that will make someone realise that we are living the copied life, is not ours
Tunasoma katika historia inayojulikana na kila mtu kuwa , wazungu walikuja Afrika kutafuta malighafi-hiyo ilikuwa karne ya 18! baada ya mapinduzi ya viwanda! Je sisi hiyo hali tumeifikia? have we ever experienced industrial revolution? then which century are we?
Je hawa wazungu leo hii wanapata malighafi kutoka wapi? au Mungu amewaumbia tena madini?
Yeah, he just did, so wachu gon du ba dat??
kenyans use their passports as id's. so what is the difference??
second, more kenyans have kenyan passports than the sum total of tanzanians that own tanzanian passport.
plus if the other 4 nations descide to use ID's then at some point tanzania will have to do the same thing.
i dont see the big deal about this but if tanzanians like this rule then more power to them.