MkuuMtarajiwa
Member
- Sep 7, 2010
- 57
- 10
Ripoti iliyosomwa ya Bajeti ya Tanzania ina kurasa 126 wakati ile ya Kenya ina kurasa 32 na kwa hesabu ya haraka haraka ni kuwa bajeti ya Kenya imeandikwa kwenye karatasi ROBO (1/4) ya karatasi zilizotumika kuiandika Bajeti ya Tanzania
Uhuru Kenyata ni very bright sishangai hata kama ilikuwa kurasa moja ,,hili la kwetu ni tabulalasa yaani hotuba ndefu ka anasoma kanuni za TANU
Ukifuatilia bajeti ya Kenya utagundua kwamba haizidi kurasa nne na imebeba kila kitu mle yaani short and crea, But ya kwetu ni kama Kurasa za Bible vile,
Ripoti iliyosomwa ya Bajeti ya Tanzania ina kurasa 126 wakati ile ya Kenya ina kurasa 32 na kwa hesabu ya haraka haraka ni kuwa bajeti ya Kenya imeandikwa kwenye karatasi ROBO (1/4) ya karatasi zilizotumika kuiandika Bajeti ya Tanzania
Ripoti iliyosomwa ya Bajeti ya Tanzania ina kurasa 126 wakati ile ya Kenya ina kurasa 32 na kwa hesabu ya haraka haraka ni kuwa bajeti ya Kenya imeandikwa kwenye karatasi ROBO (1/4) ya karatasi zilizotumika kuiandika Bajeti ya Tanzania
1, tutaongeza kodi kwenye ushuru wa madini
2, tutaongeza ukusanyaji wa mapato
3, tutaongeza uzalishaji wa viwandani na kwenye sekta ya kilimo.
4, posho za vigogo wa serikali zitaondolewa kabisa.
5, semina elekezi zitaondolewa
6, matumizi ya serikali yatapungua kwa 50%
7, kipaumbele kitakuwa kwenye elimu, kilimo, na afya,
8, mishahara ya wafanyakazi itaongezeka kulinga na hali ya maisha ya sasa.
9, tutapunguza au kufuta kodi bidhaa za mafuta ili kupunguza ukali wa maisha kwa mwananchi wa kawaida.
HUU NI MFANO TU WA BRAA BRAA YA BUDGET YA TZ USIOHITAJI MAELEZO MENGI AMBAYO MWANACHI WA KAWAIDA HAYAELEWI, SIDHANI KAMA UNAWEZA UKAJAA UKURASA MZIMA. teh teh teh
To add an insult to the wound. Kenya ambayo ni nchi ndogo kuliko Tanzania ki-eneo, Kenya ambayo ina population ndogo kuliko Tanzania. Budget yake ya 2011/2012 imeizidi budget ya Tanzania kwa $ 5 Billion. Pia Kenya budget yake inategemea LESS kwa wafadhili ukilinganisha na budget ya Tanzania.
Halafu mnajindanganya tutashindanaya na Kenya kwenye soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki?!