mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
Mzee wa sumu, huna lolote wewe, hakuna cha determination and capacity wala staying vigillant. Kagame alienda kuiba madini ya congo wababe wa afrika mashariki na kati JWTZ tukamkata kiaina. Huo ndo ukweli.
Basi njooni kwetu mjifanye mnatafuta hao interahamwe wenu muone tutakachowafanya.
Tatizo ilikuwa sio ownership bali mandate for threats coming from groups like FDRL to the member countries...hiki kikosi kinatokana na azimio la AU.
..jumuiya za kiuchumi za SADC, na ECOWAS, Jumuiya ya Uchumi Afrika ya kati, tayari zina standby forces zake, na majeshi hayo yamewahi kutumika ktk maeneo mbalimbali ya Afrika.
..nchi za Afrika Mashariki zilikuwa nyuma kwa kutokuwa na stand by force. kwa hiyo kikosi hiki sasa kimeziba pengo lililokuwepo.
..kikosi hiki siyo cha East African Community na ndiyo maana askari toka nchi zisizo wanachama kama Sudan, Ethiopia, etc wanashiriki ktk kikosi hiki.
cc jMali, mchambawima, Talkandtalk, JustDoItNow, Swat, lawmaina78, nyumba kubwa
Mzee wa sumu, huna lolote wewe, hakuna cha determination and capacity wala staying vigillant. Kagame alienda kuiba madini ya congo wababe wa afrika mashariki na kati JWTZ tukamkata kiaina. Huo ndo ukweli.
Basi njooni kwetu mjifanye mnatafuta hao interahamwe wenu muone tutakachowafanya.
Tatizo ilikuwa sio ownership bali mandate for threats coming from groups like FDRL to the member countries.
Ndugu yetu hataki kukubali kwamba FDRL ni mojawapo ya makundi yanayolengwa na kikosi hicho, yet uongozi wa kikosi umeweka bayana jambo hilo
Rwandas concern is all about her security, haijalishi iwe SADC au EASF as long as we have a guarantee of our security we don`t care...interesting question.
..sina uhakika kama EASF inaweza kuwa deployed DRC kupambana na FDLR.
..EASF includes Rwanda, na kutokana na mahusiano mabaya kati ya Rwanda na DRC, sidhani kama DRC wako tayari kuruhusu askari toka Rwanda waingie ktk ardhi yao[drc] any time in the near future.
..ikumbukwe kwamba Rwanda inatuhumiwa kwa kushiriki mauaji ya kimbari dhidi ya Wacongomani; wizi na uporaji wa rasilimali; pamoja na kufadhili makundi ya waasi wa DRC. sasa katika mazingira kama hayo naona ni vigumu kwa chombo chochote kile kushauri askari wa Rwanda wapelekwe nchini DRC kwa malengo ya kurejesha usalama.
..DRC wako ktk eneo la jumuiya ya SADC, kwa hiyo mostly likely SADC standby force ndiyo itakayobeba jukumu la kupeleka askari DRC kwa malengo ya kurejesha usalama au kulinda amani. Wakati wa civil war ya Liberia majeshi ya ECOWAS ndiyo yalikwenda kutuliza vita.
cc jMali, Swat, JustDoItNow, mchambawima, lawmaina78
Rwandas concern is all about her security, haijalishi iwe SADC au EASF as long as we have a guarantee of our security we don`t care.
Lengo la Rwanda sio ku attack DRC lengo ni ku defuse FDRL ambao wanampango wa kuattack Rwanda, and for this we have International community support ndio maana kuna mpango wakuwapeleka mbali sana na mpaka.
FDRL wamepewa mda maalumu na UN wakuweka silaha chini wasipofanya hivyo watapigwa.
Issue ya DRC kutokukubali majeshi ya Rwanda kuingia kwao that is another topic, ila nakuhakikishia kwamba, any time that FDRL will approach the boarder with an intention of attacking Rwanda,Rwanda haitasubiri kupigana ndani ya ardhi ya Rwanda, that is a known policy, a host and a supporter of the group has to suffer the consequence na sio raia wa Rwanda.
For the sake ya kuendelea kujadiliana nawewe please usijiite mTanzania when you are talking to me,How many times has Rwanda invaded DRC without her consent under the pretext of looking for FDLR/interahamwe/ex-FAR since 1994? Ina maana Rwanda ina kajeshi kabovu namna hii? by the way, according to your GOVERNMENT NEWSPAPERS etc, isn't Tanzania "hosting" the FDLR? je mmetufanya nini?
..interesting question.
..sina uhakika kama EASF inaweza kuwa deployed DRC kupambana na FDLR.
..EASF includes Rwanda, na kutokana na mahusiano mabaya kati ya Rwanda na DRC, sidhani kama DRC wako tayari kuruhusu askari toka Rwanda waingie ktk ardhi yao[drc] any time in the near future.
..ikumbukwe kwamba Rwanda inatuhumiwa kwa kushiriki mauaji ya kimbari dhidi ya Wacongomani; wizi na uporaji wa rasilimali; pamoja na kufadhili makundi ya waasi wa DRC. sasa katika mazingira kama hayo naona ni vigumu kwa chombo chochote kile kushauri askari wa Rwanda wapelekwe nchini DRC kwa malengo ya kurejesha usalama.
..DRC wako ktk eneo la jumuiya ya SADC, kwa hiyo mostly likely SADC standby force ndiyo itakayobeba jukumu la kupeleka askari DRC kwa malengo ya kurejesha usalama au kulinda amani. Wakati wa civil war ya Liberia majeshi ya ECOWAS ndiyo yalikwenda kutuliza vita.
cc jMali, Swat, JustDoItNow, mchambawima, lawmaina78
Rwandas concern is all about her security, haijalishi iwe SADC au EASF as long as we have a guarantee of our security we don`t care.
Lengo la Rwanda sio ku attack DRC lengo ni ku defuse FDRL ambao wanampango wa kuattack Rwanda, and for this we have International community support ndio maana kuna mpango wakuwapeleka mbali sana na mpaka.
FDRL wamepewa mda maalumu na UN wakuweka silaha chini wasipofanya hivyo watapigwa.
Issue ya DRC kutokukubali majeshi ya Rwanda kuingia kwao that is another topic, ila nakuhakikishia kwamba, any time that FDRL will approach the boarder with an intention of attacking Rwanda,Rwanda haitasubiri kupigana ndani ya ardhi ya Rwanda, that is a known policy, a host and a supporter of the group has to suffer the consequence na sio raia wa Rwanda.
For the sake ya kuendelea kujadiliana nawewe please usijiite mTanzania when you are talking to me,
Yes they host you lakini you are not a threat, kuandika jamiiforums is nothing for us.
Njoo na silaha usogelee mpaka, hapo ndio nitakujibu
Mkuu acha kabisa, tena JWTZ Intelligence yake ilikuwa sahihi sana.
Intelligency ya TZ ilikuwa inadai M23 ni kazi nyepesi sana na hatuhitaji kutoa Askari ambao ni Nguli kwenda kule.
DRC na UN waliamini M23 ni mziki mnene, hivyo wakaomba Tz itoe Batallion ya Nguvu. Jeneral Mwamunyange na wenzake wakasema tutatoa na mokamando wachache pamoja na Brigedia ambae ni Mchapakazi aliebobea ktk mbinu za vita lakini si kutoa Ballion ya nguvu kama Mataifa mengine wanavyotaka hususani Kabila.
Wakati wa mapambano, hakuna majeshi yoyote yalokaa mstari wa mbele isipokuwa JWTZ, kuanzia mizinga mpaka wale wa front line ni Tanzania. South Africa na Malawi waliombwa na Tanzania wakae pembeni waangalie jinsi Tz itakavopiga mziki.
Asikwambie mtu Jmail, M23 walipata kupigo kizito vibaya sana.
Kila mda waliposubiri JWTZ wawe busy kwa kazi yoyote ili washambulie wakakuta kila wakipiga Wanaume wanajibu tena kwa mapigo makubwa.
Ule mlima ambao ulikuwa ni ngome yao kuu, haukutekwa kwa Risasi pekee. Ule Mlima uligwa Mizinga vibaya sana, maiti za Watutsi zikawa zinashuka tu kutoka Mlimani.
Kwa Bahati nzuri JWTZ huwa halipendi maneno maneno, lenyewe likaiambia Serikali ya DRC isitangaze habari yoyote kuhusu mapigano na vifo vya M23 vilivyotokea kule.
Another interesting thing ni kuwa M23 bado wako Rwanda including their top military commanders, Laurent Nkunda bado anahifadhiwa Rwanda na huyu ANATAKIWA ICC RIGHT NOW! Ningekuwa SADC ningeanza kupiga kelele za "negative forces" hosted by Rwanda na Uganda as well.
..sina uhakika kama Rwanda inaweza kuingia tena DRC in the near future.
..sababu[kisingizio kwa wengine] za kufanya hivyo zimeshaondolewa baada ya UN intervention force kuingilia kati.
..hili suala la FDLR, na jinsi ya kulimaliza, liko mikononi mwa UN kwa sasa hivi, na ndiyo watakaoamua mwisho wake.
..Jumuiya ya Kimataifa ilikaa pembeni kwa muda mrefu na Rwanda wakafanya wanavyotaka ndani ya DRC, lakini imeonekana kwamba COLLATERAL DAMAGE ni kubwa mno.
Kuna mauaji ya kutisha yamehusisha jeshi la Rwanda, kuna uporaji wa rasilimali za Congo unaohusisha Rwandan ruling class, na mambo mengine mengi mabaya.
..Kwa upande mwingine, Rwanda inabidi mjitathmini wenyewe. Inakuwaje serikali mliyoiweka wenyewe madarakani leo inakuwa hostile kwenu? DRC iliwaruhusu muuwe Wahutu/FDLR vile mlivyotaka. Sasa what happened btn then and now kiasi kwamba sasa DRC imeamua kuwahifadhi FDLR?
cc jMali, lawmaina78, mchambawima1
How many times has Rwanda invaded DRC without her consent under the pretext of looking for FDLR/interahamwe/ex-FAR since 1994? Ina maana Rwanda ina kajeshi kabovu namna hii? by the way, according to your GOVERNMENT NEWSPAPERS etc, isn't Tanzania "hosting" the FDLR? je mmetufanya nini?
Nimekwambia hamjawa threat, incase tukiona you are real threat, sio lazima kuvuka mpaka, we can easily buy you!!how many times huwa ninaacha kuongea na nyinyi halafu nyinyi mnaazisha mazungumzo na mimi? Kubali tu kuwa umeshashindwa. Mnasema tunahost FDLR mbona hamtupigi sasa? hata majuzi kizito mihigo "ameconfess" kuwa Tanzania inapanga kumpindua kagame na tuna-train forces mbona hamvuki hapo Rusumo?
Jokakuu
Acha kabisa!! siku usalama wa Rwanda utakapokuwa hatarini, Rwanda itaingi bila ya kumwuliza mtu yeyote. na wala sio Congo tu popote pale Rwanda haitakaa isubiri mpkani, itamfwata huyo mtu popote pale.