Earphones inayoweza kutafsiri lugha zaidi ya 40

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,742
Mvumbuzi wa Ghana , Danny Manu ametengeneza vifaa vya masikioni visivyotumia waya, vinavyoweza kutafsiri kiotomatiki zaidi ya lugha 40.

Wale Dj wa kutafsiri naona vibarua vimeshaota fangasi.

Kifaa hiki unaweza kusikiliza au kusikilizwa na Kila mtu kuongea lugha yake na kusikiliza lugha yake.

Kila mtu anapotumia kifaa hiko anaweza kumsikiliza mwenzake kwa lugha ambayo anaelewa na yeye akatumia lugha yake.

Mpaka sasa kina lugha 40.
Hata ikiwa unasikiliza nyimbo,maongezi na n.k.
Utaweka lugha unayoelewa kati zilimo 40.

Mambo ya Othman bay wa azam na vichina tutakuwa tunasikiliza mubashara au ukienda nchi ambayo lugha gongana ila wote mkiwa na kifaa hiko.
Screenshot_2023-09-29-05-12-51-25.jpg
 
Hio ipo hata kabla ya uvumbuzi ame-embed API kwenye hizo earphones tu nilishawahi fanya kazi hotel moja ya kitalii pale wanakuja watu tofauti tofauti kuna app moja inaweza kutafasiri lugha nyingi tu na tulikua tunaitumia hususani kwa raia kutoka Nchi ya Spain wengi wao walikua hawajui kuzungumza Kingereza kabisa na wengine hata hawakijui kuna wakati nilikua hadi nashangaa inawezekanaje? Hio app ina-act km mkalimani kwa hio unachagua Kingereza na Kispanish kina-interchange ukiongea Kingereza inatafisiri kwenda Kispanish ukiongea Kispanish inatafisiri kwenda Kingereza
 
Mvumbuzi wa Ghana , Danny Manu ametengeneza vifaa vya masikioni visivyotumia waya, vinavyoweza kutafsiri kiotomatiki zaidi ya lugha 40.

Wale Dj wa kutafsiri naona vibarua vimeshaota fangasi.

Kifaa hiki unaweza kusikiliza au kusikilizwa na Kila mtu kuongea lugha yake na kusikiliza lugha yake.

Kila mtu anapotumia kifaa hiko anaweza kumsikiliza mwenzake kwa lugha ambayo anaelewa na yeye akatumia lugha yake.

Mpaka sasa kina lugha 40.
Hata ikiwa unasikiliza nyimbo,maongezi na n.k.
Utaweka lugha unayoelewa kati zilimo 40.

Mambo ya Othman bay wa azam na vichina tutakuwa tunasikiliza mubashara au ukienda nchi ambayo lugha gongana ila wote mkiwa na kifaa hiko.View attachment 2765862
Mwamba amekaza sana, kikubwa hapa bidhaa isamabae mapema watu waipate wafaidike nayo.
 
Mwamba amekaza sana, kikubwa hapa bidhaa isamabae mapema watu waipate wafaidike nayo.
Sio ubunifu amefanya modifications tu hata wewe unaweza tatizo km mtaji hauna ndio wanaobuni magari yanayotumia maji sio petrol utasema ametengeza Gari mpya, Gari ni lile lile ameliongezea udambwi tu ambao huo udambwi upo tu sio kwamba kauanzisha yeye
 
Sio ubunifu amefanya modifications tu hata wewe unaweza tatizo km mtaji hauna ndio wanaobuni magari yanayotumia maji sio petrol utasema ametengeza Gari mpya, Gari ni like lile ameliongezea udambwi tu ambao huo udambwi upo tu sio kwamba kauanzisha yeye
Hata kufanya modifications ya kitu ni suala linalohitaji utulivu wa akili master.
 
Sio ubunifu amefanya modifications tu hata wewe unaweza tatizo km mtaji hauna ndio wanaobuni magari yanayotumia maji sio petrol utasema ametengeza Gari mpya, Gari ni lile lile ameliongezea udambwi tu ambao huo udambwi upo tu sio kwamba kauanzisha yeye
Kama sio ubunifu hiko kifaa unachotumia unafahamu mwanzo wake lilikuwa alibebeki ukilinganisha na Leo unapinga hapo tena una tachi
 
Back
Top Bottom