Wakuu habari za jioni poleni/hongereni na shughuli za hapa na pale naomba kuuliza yoyote ambae ana duka la accessories za simu au anafahamu napoweza kupata hizi lightining wired earphones original za iphone ambazo ni verified na apple picha [emoji116]
Ikiwa kampuni ya beats by dre itapendeza