INAUZWA Earphone na charger-Original Samsung products

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,702
Nauza Earphones original za Samsung nimetoa kwenye simu(baada ya simu ya kwanza kupotea) bei yake ni elf 8 tu(hazijatumika hata siku moja-brand new), pia kuna charger ya Samsung nyeupe na ina flash light kuonyesha chaji inaingia au imeshajaa,bei elf 8 tu.
Nipo dar mitaa ya posta, kama mtu anachukua leo nampunguzia bei.
karibuni
earphone.jpg
 
karibuniView attachment 782491
Naitaka hiyo charger. Earphone za aina hiyo zinaniumizaga masikio. Nipo mlimani city
 
Mimi niuzie earphone mkuu, tufunge uzi maana wa chaja keshapatikana.
 
Vipi CHAJA NA IAFONI JUMLA NI SHILINGI ELUFU NANE? KAMA vipo Tufanye biashara unitumie Arusha.
 
Back
Top Bottom