Jamaa yangu unataka tufungue Kamusi ya kutafsiri neno hili?
JK asingemqacha au neno lipi, maana kwa Tafsiri TZ hatuko nyuma ila kwa kauli ya huyu mama sasa Rwanda na Uganda janja yao kwishajulikana wao ndio watakaokuwa nyuma
Duh UHURU Kenyatta kachagua haswa? na km hata hili Tall likikufuata utasamehe yote na kulegea