what was that!? amesema kisa ni nini huyo odinga? hawa majiran wana chochochoko,mara banda mara kagame sasa odinga,wameona tunaraha zetu wanataka kutuvuruga, loh waende zao,
uyo kikwete sasa mnamdhalilisha....yani aache wapinzani wake wakuu wanaomlaza macho wazi ndo akaangaike na majirani, sasa wanaanza kumuonea rais wetu, haiwezekani!!!