''Patriotic leader' una maana gani? kama wale wa 1993 genocide au una maanisha nini.
Wewe na nani? Ungejua uko peke yako, ungefunga domo lako. Tulia ungalie sinema ikichezwa. you are a non-player in this game. Wewe tafuta mboga ya nyumbani ukae kimya. Eti "sisi"!!!! Nyambafu
Hawa Rwanda ni wazimu! Tanzania alilie EAC wakati kawakaribisha nyie ili msiendelee kuchinjana leo ndio mnajifanya ku dictate terms? Maajabu! Penye makosa lazima tukubali kusahihisha! Frankly speaking we have nothing to loose by leaving EAC.
Tatizo EAC SIYO YENU NYIE WANYAMURENGE! Ni Mali ya nchi 3 tu, ebu angalia was taabu wa Burundi.hivi tutafaidika nini kwa kuing'ang'ania Rwanda yenye uchumi kama wa wilaya ya korogwe? Madini ya wizi tumeziba sasa sijui mtaishi vipi? Mtalipwa mboga Za majani na mihogo kama mishahara au umesahau mlikuwa mnalipana nini kabla ya kuanza wizi wa madini ya DRC!
I do not think genuine integrationists in East Africa should be worried by Kenya, Uganda and Rwanda meeting in Mombasa to plan joint projects; just as a meeting of Tanzania, Burundi and Rwanda to hasten the implementation of the proposed Musoma-Arusha-Tanga Railway should not worry Kenya and Uganda.
Projects which facilitate the integration of two or more of the partners in the EAC are all in the right direction. Rwanda and Burundi should for instance be very much interested in the rehabilitation and renovation of the Tanzania Central Railway Line and Dar es Salaam Port.
As the last Secretary General of EAC (Phase I) I lament that it was not possible during that phase to extend the Tanga-Arusha Railway to Musoma. Arguments that passing through the Serengeti National Park would disturb this wonder of the world were advanced by a number of people, especially those pre-occupied with Kisumu and Mombasa ports' business expansion. Anyway, the economic and financial strains that followed , made the Tanzania authorities shelve the project.
Endeleeni n mikataba ya kijeshi mliochomeka katika ujenzi wa reli.Hahaha...pumba nyingi tu. utake usitake Rwanda,Burundi tuko EAC. Tunachotaka ni coalition of the willing waendelee na intergration nyie ambao bado mnajivutavuta subirini tu muda si mrefu mtawashiwa indicator. Watu waoga kama nini. Tatizo nyie kwa sababu ya corruption inayowatafuna mnaogopa kwenda na kasi yetu kwa sababu hao mnaowatuma kwenye mikutano wanaweza wakaw short change kwa maslahi yao binafsi.
Endeleeni n mikataba ya kijeshi mliochomeka katika ujenzi wa reli.
Mwambie Sezibera akimaliza muda wake kama mwambata wa kijeshi wa Kagame then EAC will go forward.
Watanzania ni watu makini sana, walikataa mwanzo kabisa Kagame kuwa sehemu ya EAC. Walijua kifo cha EAC kitatokea Rwanda, sasa Sezibera keshakiwasilisha. Katibu mkuu anazunguka katika region kutoa stupid statements katika vikao vya 'harusi' Nairobi, shame on you Sezibera.
murutongore,Hahaha...pumba nyingi tu. utake usitake Rwanda,Burundi tuko EAC. Tunachotaka ni coalition of the willing waendelee na intergration nyie ambao bado mnajivutavuta subirini tu muda si mrefu mtawashiwa indicator. Watu waoga kama nini. Tatizo nyie kwa sababu ya corruption inayowatafuna mnaogopa kwenda na kasi yetu kwa sababu hao mnaowatuma kwenye mikutano wanaweza wakaw short change kwa maslahi yao binafsi.
ontrealHahaha...pumba nyingi tu. utake usitake Rwanda,Burundi tuko EAC. Tunachotaka ni coalition of the willing waendelee na intergration nyie ambao bado mnajivutavuta subirini tu muda si mrefu mtawashiwa indicator. Watu waoga kama nini. Tatizo nyie kwa sababu ya corruption inayowatafuna mnaogopa kwenda na kasi yetu kwa sababu hao mnaowatuma kwenye mikutano wanaweza wakaw short change kwa maslahi yao binafsi.
Sidhani kama kuna Mtanzania ambaye ana mawazo ya kutaka Rwanda na Burundi watoke EAC. Nilichosema ni kuwa Rwanda inaihitaji EAC ambayo ni mali ya nchi 3, ndio maana mkaambiwa hamna haki ya kuomba mabadiliko yoyote mnapojiunga bali mnaingia kama mlivyoikuta! EAC ni kinga ya siasa zenu za kibaguzi huku mkiwa watu wa taifa moja. Danganyeni kokote lakini jueni dhambi yenu yya ubaguzi itawatafuna maisha milele!Hatujivuti wala hatuna uoga wowote kwa Rwanda na bwana zenu na ni haki yenu kuwa na federation lakini mfuate Treaty inasema nini (play by the rules of the game). Ubaya tunaosema ni ule unafiki wenu kama mlivyozoea yaani mnasema tofauti na jinsi mnavyofanya. Tumewalea na tunawajua vizuri sana kuliko nafikiri nchi nyingine.
Kwanini tuingie kwenye federation na nchi ambazo hazina uhakika na kesho na wanatawaliwa na masultani? Hatuwezi tukawa na federation na nchi ambayo rais wake anafikiri kuwa ni bora kuliko raia wengine kiasi cha kubadili katiba kama chupi ili abaki madarakani. Put your houses in order then talk of federation. Corruption imekuwa eti ndio kitu peke ambacho mnashughulikia! Uhutu na ututsi hata, equal opportunity kwa watu wenu, fear and terror among your people, uhuru wa mawazo! hapana!Tanzania tunasema lets build a strong EAC, economically, and not those fantasy of being sultans. with a strong economic base, the EAC federation will come up automatically. by then you may have matured democratically and denounce your racist thinking. Acheni kutafuta sehemu ya kuficha political instability and human right violations ya nchi yenu ya kibaguzi. Miungano mingi ya ambition ya viongozi bila reality za kimaisha huishia kufa and you have many examples kama unauelewa kama huo unaojifanya kuuonyesha hapa.
Inaonekana hata uelewa wako wa EAC nimdogo sana. Secretary General hapigiwi kura ila ni uteuzi wa kisiasa wa nchi ambayo inakuwa kwenye zamu ya kutoa SG. Hivyo mkitoa mpuuzi lazima atakubalika tu maana ni zamu yenu. Again, Watanzania hawajawahi kuwa na ubaya na watu wa Burundi na Rwanda ila hawakubaliana na genge la wahuni ambao wanafikiri wamepewa uwezo wa kutawala wanyarwanda wenzao eti wakiwaita watwana na wenyewe wakiwa mabwana. Hata kama angekuwa Mhutu anafanya hivi pia tungemwambaia hapana!
ontreal
iPad
u can be a good novelist but with all you have written here ni pumba tu. i told you either you are in our you are out. Hakuna in between kwenye eac and for that matter in anything and everything. You guys don't know what you want. Mnaenda kwenye mikutano lakini mnakuwa ndio kikwazo kikubwa. Kama mnaona hamko tayari basi kaeni pembeni mpaka mtakapokuwa tayari. Sio kurudisha wenzenu nyuma. Sit on the side and be spectators as you always are.
Nani kawalazimisha. Tumesema kama hamtaki EAC ondokeni hatuwalazimishi. Mbona mnang'ang'ania. Si mmesema haiwafai?
We gave them an inch,now they want to take the whole foot. We should have locked them out of EAC.
Akambadili uhuru, then agreement can be done in Tutsi language..Tanzania inasubiri nini kumtimua Dr.Seziraba?
..hivi kweli Dr.Seziraba/Rwanda inaweza kuituhumu Tanzania kwamba ktk EAC tunachuma tusichopanda?
..kwani Rwanda wana mchango gani ktk EAC mpaka wawe na kiburi na dharau kiasi hiki kwa Tanzania?