uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,244
Yani hawa ni wase?!$&!@$)$& nge mpaka mwisho kwani kuna ulazima mpaka iwe tz!? Pumbavu sana. Kanchi kenyewe kadogo hako hakuna enough space, roho inawauma sana kuwapatia eneo au nini.?
naona wengi hapa ni akina "sizitaki mbichi hizi"
naona wengi hapa ni akina "sizitaki mbichi hizi"
CCM ni janga la Taifa na ni Saratani, lazima ifutwe.Choma moto wezi haoooo,Weeeziiiiiiii, Weeeziiiiii.Fake people admire fake and weak leaders.KaGAME IS THE GREAT!Unamlinganisha na rais ambaye anaulizwa swali,'' kwanini nchi yako ni ,maskini na ombamba wakati ina kila kitu'' yeye anajibu:'' hata mimi nashangaa'' au unamlinganisha Kagame na mtu ambaye anajiita ''mtoto mwizi na mnafiki wa mkulima'' akibanwa kwa hoja anaanza kulia.Hawa watu ni aibu kwa Tanzania,Afrika na dunia.Aina ya viongozi hawa ni taswrira ya jamii wanayotokana nayo.Aibu gani hii Jamani!Ni zao la MaCCM.Tanzania twende sasa tuchukue silaha ya umoja tuyafute Majambazi haya yanayoturudisha nyuma kimaendeleo, tutaifishe mali za majizi haya kwani yanajulikana,yafilisiwe na kizazi chao chote yafungwe jela maisha au yanyongwe:Fisadi,mnafiki,mzandiki, mwongo, mchawi-Wote ni watu wa kuchoma moto!T uamke mama Tanzania!
Inaingia akilini kwako watu kuhama kisa eka 3 tu?
Duh, nimeipenda hii, you must be a Rwandan. Cool, no time to waste in the new dispensation, quick and accurate judgments are the only known ingredients.Sio maswala ya eka tatu? Ni ukiritimba, watu wanawaomba ardhi miaka nenda rudi jibu hawapati, wakam beep raisi wetu jamaa kawapigia. itawachukua miaka mingi kuelewa haya. Dunia ya sasa, sio ya kujivuta. Sisi ukituletea deal tunafanya SWOT ndani ya siku moja tunakuwa tunajua kama inalipa au la...kama inalipa tunakuwekea red carpet. Dig it?
Sio maswala ya eka tatu? Ni ukiritimba, watu wanawaomba ardhi miaka nenda rudi jibu hawapati, wakam beep raisi wetu jamaa kawapigia. itawachukua miaka mingi kuelewa haya. Dunia ya sasa, sio ya kujivuta. Sisi ukituletea deal tunafanya SWOT ndani ya siku moja tunakuwa tunajua kama inalipa au la...kama inalipa tunakuwekea red carpet. Dig it?
Duh, nimeipenda hii, you
must be a Rwandan. Cool, no time to waste in the new dispensation,
quick and accurate judgments are the only known ingredients.
Siku hizi hakuna ardhi ya bure TZ. Ndugu zangu huko Rwanda kama hiyo EABC imeshindwa kununua eka 3 tu, watajenga kweli? Nategemea Murutongore utatuletea picha ya hilo jengo au huo mradi utakaokuwepo katika hizo eka 3. Labda Kagame atawajengea kwa kutumia fedha za.......toka DRC
re~vitz ina bei kuliko benz kwa wa wakati huu!kweli kabisa, kama watu wamekunyima ardhi kwa nini utangaze? maana yake ni kuwa Tanzania bado ndio first option, pamoja na Rwanda kuwapa eneo bado wangependa zaidi Tanzania! kama vile tunaopenda benz na bmw ni wengi, lakini kwa kuwa hatuna uwezo wa ku-afford tunaendesha vitz!
I admire President KAGAME... He has vision for his country... with EABC HQ in his country will accelerate Trade and private company participation in EAC. I feel pitty we lost this Golden opportunity. .