Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,566
- Thread starter
-
- #21
WatanyookaEti agiza na mimi pekee, yani umeenda China mwenyewe huna hata mtaji unazunguka madukani unapiga vitu picha unasubiria nikitaman nikilipie upate hela ya mtaji. Haya kitu kinafika kiko tofaut na ulichoona katika picha
Inafunguliwa lini muungwana tuanze kupiga noti. Hakuna kwenda china tenaWachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa na kuandamana kumtaka Chalamila afukuze wachina.
**Wachina waruhusiwe kuuza Hadi Tunduma/Kasumulu/Rusumo na Mipakani kote. Wacongo, Wazambia , Wamalawi, Wanyarwanda wasifike Kariakoo kabisa
China IN DarInafunguliwa lini muungwana tuanze kupiga noti. Hakuna kwenda china tena
Lakini ulanguzi uliopitiliza nao sio poa.Akili za mafukara zimejaa visirani.
Yaani hao ndo hopeless kabisa. Wengi wao watakuletea vitu low quality wakati umelipa pesa kubwa.Eti agiza na mimi pekee, yani umeenda China mwenyewe huna hata mtaji unazunguka madukani unapiga vitu picha unasubiria nikitaman nikilipie upate hela ya mtaji. Haya kitu kinafika kiko tofaut na ulichoona katika picha
China in Dar
Tanzania huwa inashangaza sana dunia, ni inchi masikini lakin baadhi wananchi kuliko ilivyo kadiriwa wake wanaspend sana pesaKuna mtu kaweka mada anashangaa kuna duka mchina Mikocheni linauza kila kitu kwa buku 3 tuu.. Hiyo ni sawa Yuan 10 kule China.. Hiyo pesa kule kwao ina nguvu Sana.. Na wabongo tumepigwa Sana bei kwa vitu ambavyo bei yake ni kitonga
Ndio starehe ya fukara .. Kujimwambafy ndio asiliTanzania huwa inashangaza sana dunia, ni inchi masikini lakin baadhi wananchi kuliko ilivyo kadiriwa wake wanaspend sana pesa
Eti agiza na mimi pekee, yani umeenda China mwenyewe huna hata mtaji unazunguka madukani unapiga vitu picha unasubiria nikitaman nikilipie upate hela ya mtaji. Haya kitu kinafika kiko tofaut na ulichoona katika picha
Mam apewe maua yakeWachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa na kuandamana kumtaka Chalamila afukuze wachina.
**Wachina waruhusiwe kuuza Hadi Tunduma/Kasumulu/Rusumo na Mipakani kote. Wacongo, Wazambia , Wamalawi, Wanyarwanda wasifike Kariakoo kabisa.
***Nimepita Lusaka nako Wachina wanajenga mall kama hiyo EACLC
HakikaMam apewe maua yake
Mam apewe maua yake
Sawa Tu. Waje Hata kugombea nafasi za Kisiasa kabisa. At least tuwe na Mbunge Mchina"China's strategy in Africa involves selling products at lower prices, often subsidized, to flood markets and potentially dominate local production. This can create a situation where African businesses struggle to compete due to China's cost advantages, potentially hindering industrialization and value-added production. "