fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 665
- 720
Bei:155000Tsh
Nauza simu hizi vintage za nokia
Napatikana kkoo,piga 0788622610
Nauza simu hizi vintage za nokia
Napatikana kkoo,piga 0788622610
Mkuu, hizi simu nazikubali sana hasa hyo Gold colour.. Size, appearance yaan zinanikosha sana..Simu hii hutojutia ukiinunua,a very classic phone
Haina bossIna hotspot??
Unaweza download program ya hotspotIna hotspot??
Mkuu hizi simu bei,ni classic na thamni yake haishuki mkuu..karibu mkuu hutojutiaMkuu, hizi simu nazikubali sana hasa hyo Gold colour.. Size, appearance yaan zinanikosha sana..
Now namiliki Nokia ASHA 200 ila sio very classic although is Firm..
So punguza kidogo mkuu...
Nawasubiri mashahidi wa kutokujutiaMkuu hizi simu bei,ni classic na thamni yake haishuki mkuu..karibu mkuu hutojutia
Itakuwa MchinaNawasubiri mashahidi wa kutokujutia
Ni original mkuuItakuwa Mchina
Ama Nokia Original Finland, Germany


Yes mkuu hizi simu unaweza ukadhidharau kwa bei lakini ndio bei zake,kwenye maduka ni ghali zaidi..Hiyo bei![]()
Muongo,Wabongo kwa kupigana bei hatujambo....yani hapo unguja tu kwa maziluu hizo simu auza 50 elfu weye waja kuuza laki na usheee?
😂😂 hapo hata chai hujanywa,huna hela tuliza makende hayo..e72 nauza 150 full boxed halafu unasema ghali?Wabongo kwa kupigana bei hatujambo....yani hapo unguja tu kwa maziluu hizo simu auza 50 elfu weye waja kuuza laki na usheee?
hapo hata chai hujanywa,huna hela tuliza makende hayo..e72 nauza 150 full boxed halafu unasema ghali?