Nangose 1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,204
- 6,781
Unazungumzia Zenji auWabongo kwa kupigana bei hatujambo....yani hapo unguja tu kwa maziluu hizo simu auza 50 elfu weye waja kuuza laki na usheee?
Unazungumzia Zenji auWabongo kwa kupigana bei hatujambo....yani hapo unguja tu kwa maziluu hizo simu auza 50 elfu weye waja kuuza laki na usheee?
Ni original mkuu
Ndio mkuuUnazungumzia Zenji au
Kunywa chai na kuongea nachokijua vinahusiana vipi? Pale Unguja duka la maziluu anazo hizo simu anaziuza elfu 50 tu.hapo hata chai hujanywa,huna hela tuliza makende hayo..e72 nauza 150 full boxed halafu unasema ghali?
Umeelewa lakini au kimbelembele chako kinakupeleka puta?Muongo,
Nyie ndio mnaharibu biashara za watu,hizi simu mara ya mwisho naziulizia zinauzwa 220k mtaa wa msimbazi/magira kkoo..jamaa kuuza 150k bado ni cheap
Simu nishaziuza,we baki hapo ulie ulie huku unaonakana kituko kwa watu..ushamba mzigoKunywa chai na kuongea nachokijua vinahusiana vipi? Pale Unguja duka la maziluu anazo hizo simu anaziuza elfu 50 tu.
We unazinunua wapi hadi uuze zaidi ya laki moja kama si kuibia watu.
we bwana weweNawasubiri mashahidi wa kutokujutia
Mkuu umekuwa mbara tena mana mwanzo uliandika kiunguja asaivi umeandika kibara...jamiiforum kuna mengi ya kujifunzaKunywa chai na kuongea nachokijua vinahusiana vipi? Pale Unguja duka la maziluu anazo hizo simu anaziuza elfu 50 tu.
We unazinunua wapi hadi uuze zaidi ya laki moja kama si kuibia watu.
Kuna nyingine mbili nyeupe,brand new ina kila kitu chake.Bado ipo?