shukrani sana!Maelezo umeyaona mkuu
Kwanza,Ukishapokea hiyo hela emu tutajie maeneo makubwa hapa DSM ambako kuna agents ambao unaweza withdraw cash
Pesa itawekwa na kutolewa kwa mawakala wao, hii ni project on development bado aijawa launched.Kwanza,Ukishapokea hiyo hela emu tutajie maeneo makubwa hapa DSM ambako kuna agents ambao unaweza withdraw cash
Pili,Tuoneshe tovuti ambako wana accept hiyo e-wallet!
Hela unayomtumia mtu kutoka kwenye account yako wewe unakua umeipata wapi?
Ndo maana watu wanaomba maelezo kwa kusoma tu hiyo descrption ya PlayStore mtu sio rahisi kuelewa