e-Voting ndio suluhisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

e-Voting ndio suluhisho

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by simplemind, May 4, 2011.

 1. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,807
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Hivi karibuni tumeshuhudia chaguzi zilojaa utata ivory coast ,Nigeria,Uganda,hapa nyumbani Tanzania na Kenya mwaka 2007:-Kumekuwepo tuhuma za kuchakua matokeo .Tuhuma ambazo zimesabashi kuvurugwa amani,,vifo na uharibufu mkubwa wa mali.Je E voting ndio muarobaini wa hili gonjwa uchakachuaji? E voting imetekelezwa India kwa manifikio makubwa .Je hili linawezekana Africa ua tunahitaji home grown solution mfano mlolongo system.
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kushauri kuhusu Electronic voting...itachukua miaka 100 kua applicable africa! ... Watawala hawajiamini hivyo kuruhusu mfumo huu ni kujizika mwenyewe!
   
 3. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona Bush alichakachua kura kupitia evoting? Hata hivyo kenya watatumia evoting katika Uchaguzi wao mwaka kesho
   
 4. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Lakini vijana wa IT ni muda wao wa kula kupitia taaluma yao!
   
 5. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inawezekana ila watawala watakataaaaaaa kwa hofu ya kukosa uwezekano wa kujipa ushindi. wazo ni zuri na inawezekana maandalizi ya mapema yakiwepo, miundo mbinu na elimu ya kina.
   
 6. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Mh!.. E-voting ndo tutalia zaidi!
   
 7. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  Sure. Yaani mnaibiwa kimya kimya kwa kutumia 'simple piece of code'. E-voting inatakiwa itumike kurahisisha zoezi la upigaji kura na kutoa matokeo mapema. Si suluhisho la wizi wa kura.
   
Loading...