Haya mambo sidhani kama mkuu anaambiwa kwa lugha fasaha na akaelewa, kuna Bomu kubwa linaandaliwa hapa, mtaji wa Benki wa kuanzia ni 15bil na kwa ufahamu wangu tuna Benki chanche ambazo zina capital ya 200bil+ hili clause ya 10bil italeta shida sana kwenye banking industry.