E-mail iliyovuruga amani ya ndoa yangu

Kama mkeo Si mgonjwa wa akili,basi kuna kipande cha habari hii hujakiweka hapa!!!
 
She is so immature na hajakomaa hata chembe ; Kama mimi ningemkalisha chini na kumwelewesha kuwa hakuna haja ya kupanik maana ndoa yake ipo sawa na angeignore tu hiyo email.

Hamna kitu nachukia kama mwanandoa kuwa mtu wa udaku udaku tu yaani kujidai ooh nimetumiwa sms mara email , aliyetuma simjui ooh kasema una mtu mara mama yako kafanyaje ? damn --its a sure sign of inferiority complex and insecurity. Kama unajua ndoa yetu ipo sawa iweje unaentertain message from unknown sources? Uwe makini na usiendekeze mkuu.
 
watu wanalalamika wanavyoumizwa na ndoa zao wengine wanaficha wanakufa na maumivu yao - bado nipo nipo wa mwana FA, huyo alikuwa anatafuta sababu.
 
mkuu p.m email adress upewe majibu ndani ya muda mfupi mbona kazi ndogo tu,mwambie wife arudi kazini aongeze pato la taifa nchi bado inadaiwa hii
 
Hapa naona huyu dada/mama kazidiwa uzuri na wadogo zake, so yupo inferior sana. Anyway mwambie kwa uzuri alionao hata mdogo wako akija uchi dushe haisimami!!
 


Daaah! Sidhani, kwa level yng ya elimu na experience ktk IT, hii kitu kumjua huyo mtumaji wa email ni kama 99% haiwezekani!
Kwa kuwa tunazidiana maarifa, ngoja nisubiri hapa km kn ataetoa njia husika ya kumjua mtumaji halisi wa email!
Kwa ufahamu wng kutrace nani katuma email ni mchakato mgumu, na mrefu sana!
Police watahusika! TCRA pia wanahusika! Kwa kifupi naona gharama ya kumjua mtumaji ni kubwa kuliko gharama ya kutatua tatizo na shemeji!
Pole mtoa uzi!
 
tandika vibao viwili akili imkae vema... pambaffff zake.
sawa kabisa, wewe ndo umemaliza kila kitu? Inaonekana huyo mwanamke anakukalia kichwani, from no where anakuja na maswali ya kipumbavu kama hayo? Ivi anafikiri mwanaume ni mpumbavu?hata kama ni kweli ulimega hiyo bikra yeye anafikiri utakubali kirahisi rahisi hivyo? PUMBAVU kabisa. NDo maana sisi watu wakorofi tunapewa wake wapole sana la sivyo tungekuwa tunakaa na first ID box kama tatu hivi nyumbani.
 
ita wazee.waisöme na waifafanue then watamweka sawa cöz ww hata kuelew maana kesha jenga chuki
 

mkuu,kwa usalama wako na ndoa yako we piga kimya.nyamaza mwangalie tu afanyacho.with tym ata regain consciousness,atajitambua na kujua kuwa alipaniki bure tu
 

Kwa uzoefu wangu kwenye masuala ya mahusiano, impact ya hili suala haitatokana na hiyo email, ila itatokana na jinsi utakavyochagua kulishughulikia...

Ningekuwa wewe ningekaa kimya, na hii ishu ningeanza kuijadili NA MTU YEYOTE wiki tatu kutokea sasa. Vinginevyo ukijifanya mjanja wa "kusolve", litakufikisha pabaya...
 
tatizo ulikuwa unawavizia shemeji ako ndio maana anajua umewabaka...we potezea tu mda utamfanya apone automatically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…