E-learning in tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

E-learning in tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by chilubi, Oct 26, 2011.

 1. c

  chilubi JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,030
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  Hivi jamani TZ kuna e learning? Km ipo ni wapi wanasomesha? Na vp utambulisho wake, inatmbuliwa na waajiri na serikali?
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu fatilia zaidi maana ya E-learning na uedit hiyo post yako. Kwa jinsi nilivyokuelewa, unafikiri kwamba e-learning ni fani kama ilivyo kwa wahasibu na wengineo.
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  huo ni mfumo wa kufundishia, pale UDSM ilikuwa inafanyika Coet kabla ya kufungua ile Virtual learning centre, ambayo haitumii tena e-learning.
   
 4. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  E- Learning kwa sasa inatumiwa sana na Open University,ukifungua web yao yana catgory hiyo ambayo wanatumia moodle system,lakini muanzisha mada sina hakika kama ameperuzi vizuri maana ya e-learning.
   
 5. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hiyo sehemu ya Virtual Learning ipo wapi?
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu ipo hapo udsm, wanatumia moodle pia japo implementation bado ni tatizo.
   
Loading...