E L leo ndani ya Synagogue church of all nations la Prophet TB Joshua..

Huyu TB Joshua si ndo yule aliyemtabira EL kuwa raisi wa Tanzania? Naona EL atakuwaameenda tena kukazia utabiri huo ufanikiwe.
MAGAMBA BHANA, NAKWAMBIA HATA MAJI MAREFU NA DOKTA MANYAUNYAU MWAKA HUU WATAKULA TENDA.
 
kwani kwenda kusali kwa TB joshua ndo kunakompatia mtu uraisi?? mbona wengi tu wanakwenda kusali huko je ni wanataka uraisi ama?? mwacheni EL apumuweeeeeeeee eboh!
 
Kuna haja ya kujiuliza na kuulizana juu ya utendaji wa Mungu juu ya hawa viumbe wake!!!!
 
kwani kwenda kusali kwa TB joshua ndo kunakompatia mtu uraisi?? mbona wengi tu wanakwenda kusali huko je ni wanataka uraisi ama?? mwacheni EL apumuweeeeeeeee eboh!

Kweli bana, wamwache apumuwe nakupumuwaaaa
 
Kweli bana, wamwache apumuwe nakupumuwaaaa
bora na wewe umeliona manake .................

kila afanyalo utasikia uraisi uraisi wakati hajawah hata kufungua mdomo wake kusema hayo.

ni wivu tu.
 
Aliyetangaza kugombea urais hadi sasa ni Zitto na Shibuda (tena wote CDM), lakini cha ajabu watu wanamshambulia EL
 
aende hata kuzimu.watanzania wameshawashtukia hao mataapeli wanojiita wachungaji eti sijui manabii.hata bongo wapo kibao tunawapotezea tuu.
 
Sawa Mfalme Lowassa! Tunakupenda, Tunakuamini! Ila nina kaushauri kama kweli unataka Jimbo la Arusha libaki CCM mrudishe yule mwanae Sokione mlomficha Marekani na mkichelewa maadui watamdaka na wewe mwenyewe unamwogopa
 
Yaani waTZ, sijui mtu afanye jambo gani jema ndio akubalike
 
Hivi si nimemuona kwenye harambee ya kanisa la K.K.K.T Tanga leo kweli??...au ameenda Naija mchana
 
///////////////////////////////////////////////////???????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…